Mke wangu amenipiga picha za makalio na kuzisave kwenye gallery

Mke wangu amenipiga picha za makalio na kuzisave kwenye gallery

Jana niliishiwa salio kwenye simu yangu nikamuomba mke wangu aniazime simu yake nipate kumpigia jamaa yangu.

Nikapiga kwa ninayemtaka. Hapo alikuwa anakoga nikasema wacha nizame kwenye gallery nione picha za kipenzi changu❤️❤️ asee sikuamini nilichokiona.

Nimekuta picha zangu 71 za makalio tu tena yakiwa naked(uchi)😭😭😭 yaani mimi nikilala kumbe huwa ananifunua ananipiga picha.

Bado sijamwambia naombeni mnisaidie ushauri nimfanye nini.
Nitumie picha nithaminishe
 
Hata kama kuna joto kiasi gani,vaa pensi wakati wa kulala,then chukua simu yake na uzifute zote na kagua simu yake zaidi sehemu yenye password yoyote mwambie afungue nako uangalie,uenda kuna picha mbaya zaidi,jihakikishie nako ufute,usisite kunipa mrejesho,nikupe madini mengine.
 
Back
Top Bottom