Mtunisia mweusi
Member
- Oct 19, 2023
- 74
- 73
Tuyapendezeshe ili iweje?Ni kwa sababu yamepauka...
NB: Wanaume mpake mafuta makalio yenu jamani...
Aaaah! tupake ili nani ayaone? Wavaa nusu utupu ndo wanatakiwa kupakaNi kwa sababu yamepauka...
NB: Wanaume mpake mafuta makalio yenu jamani...
🤣 🤣 🤣 🤣 aloo ulalaji gani uo adi ufunuliwe hustuki. Pole sana, mkalishe kwa busara umuulize lengo hasa za picha za kufedhehesha hivyo lilikuwa ni lipi?Nimekuta picha zangu 71 za makalio tu tena yakiwa naked(uchi)😭😭😭 yaani mimi nikilala kumbe huwa ananifunua ananipiga picha.
Mtu yupo kwake unataka alale kimachale kama yupo jela?🤣 🤣 🤣 🤣 aloo ulalaji gani uo adi ufunuliwe hustuki. Pole sana, mkalishe kwa busara umuulize lengo hasa za picha za kufedhehesha hivyo lilikuwa ni lipi?
hakuna ugeni huko kwanini papambwe?Ni kwa sababu yamepauka...
NB: Wanaume mpake mafuta makalio yenu jamani...
mkeo inabidi ukae nae chini umhoji kwanini alipiga hizo picha?Jana niliishiwa salio kwenye simu yangu nikamuomba mke wangu aniazime simu yake nipate kumpigia jamaa yangu.
Nikapiga kwa ninayemtaka. Hapo alikuwa anakoga nikasema wacha nizame kwenye gallery nione picha za kipenzi changu❤️❤️ asee sikuamini nilichokiona.
Nimekuta picha zangu 71 za makalio tu tena yakiwa naked(uchi)😭😭😭 yaani mimi nikilala kumbe huwa ananifunua ananipiga picha.
Bado sijamwambia naombeni mnisaidie ushauri nimfanye nini.