Mke wangu amenipiga picha za makalio na kuzisave kwenye gallery

Fantasy yake kiboko..
 
Kwahiyo mattako na sura yako vyote vinaonekana?
 
Pididi ana mkono mrefu nasadiki mkeo katumwa na pididi kufanya hivyo na pididi keshazipata hizo picha sio mda mrefu utafikiwa nae
 
Mwanaume una makalio makubwa akuliko mkeo ,yawezekana ana watumia wadau aki jinadi ni yeye
 
Atakukula soon
 
Kumbe wengine Wana ruksa/uhuru wa ku-dislike maoni ya wengine while wengine Hawana au wakirudisha inaumiza...?
Nifungieni kabisa Ili muwe na amani.
"Usichopenda kufanyiwa ,usimfanyie mwingine"
Moderator Active Paw
 
Mzee baba unaachaje tako wazi usiku,hii haifai ,nunua hata hizi jezi za Yanga ile kaptula uvae usiku
 
Kumbe wengine Wana ruksa/uhuru wa ku-dislike maoni ya wengine while wengine Hawana au wakirudisha inaumiza...?
Nifungieni kabisa Ili muwe na amani.
"Usichopenda kufanyiwa ,usimfanyie mwingine"
Moderator Active Paw
Lini umezuiwa ku-dislike?
 
Mkiachana ataedt kuwa ulikuwa unaliwa na kuwatumia mabasha matako yako.

Wanawake hawa ni balaa siku hizi maisha ni kuviziana, halafu kwa nini ulale matako wazi huoni kama unawapa wepesi mapepo kukufumua malinda????..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…