Mke wangu amenipiga picha za makalio na kuzisave kwenye gallery

Wanawake sijui wanaambiana nini kuhusu makalio yetu wakiwa kwenye vikao vyao. Kuna mwingine aliwahi kushtuka usiku akakuta mkewe ana mmulika na tochi matakoni.
Alikuwa anamkagua kama kaharibika huko nyuma.
Wanawake hawataki kuwa na mume mke wa mtu.
 
Mleta mada mkeo anatunza kumbukumbu analinganisha picha za zamani na sasa kuhakiki kama hauja haribika huko makalioni.
 
Jana niliishiwa salio kwenye simu yangu nikamuomba mke wangu aniazime simu yake nipate kumpigia jamaa yangu.

Nikapiga kwa ninayemtaka. Hapo alikuwa anakoga nikasema wacha nizame kwenye gallery nione picha za kipenzi changu❤️❤️ asee sikuamini nilichokiona.

Nimekuta picha zangu 71 za makalio tu tena yakiwa naked(uchi)😭😭😭 yaani mimi nikilala kumbe huwa ananifunua ananipiga picha.

Bado sijamwambia naombeni mnisaidie ushauri nimfanye nini.
Anamtumia Bibi yake kijijini, kuna namna wabibi wanazitaka hizo picha
 
Jana niliishiwa salio kwenye simu yangu nikamuomba mke wangu aniazime simu yake nipate kumpigia jamaa yangu.

Nikapiga kwa ninayemtaka. Hapo alikuwa anakoga nikasema wacha nizame kwenye gallery nione picha za kipenzi changu❤️❤️ asee sikuamini nilichokiona.

Nimekuta picha zangu 71 za makalio tu tena yakiwa naked(uchi)😭😭😭 yaani mimi nikilala kumbe huwa ananifunua ananipiga picha.

Bado sijamwambia naombeni mnisaidie ushauri nimfanye nini.
Hatari hiyo.Chunguza kama hana umiliki wa zana za mapigano ya kijeshi aka dildos na KY.
 
Amep
Jana niliishiwa salio kwenye simu yangu nikamuomba mke wangu aniazime simu yake nipate kumpigia jamaa yangu.

Nikapiga kwa ninayemtaka. Hapo alikuwa anakoga nikasema wacha nizame kwenye gallery nione picha za kipenzi changu❤️❤️ asee sikuamini nilichokiona.

Nimekuta picha zangu 71 za makalio tu tena yakiwa naked(uchi)😭😭😭 yaani mimi nikilala kumbe huwa ananifunua ananipiga picha.

Bado sijamwambia naombeni mnisaidie ushauri nimfanye nini.
Amepata fununu kwamba unaliwa Yash Mixx so akakupiga picha ili akawaonyeshe wataalamu wakague kama Komeo halijavunjwa.
Ila ungeweka hata kapicha kamoja uhakikishe kama kweli ni picha ya makalio yako au wameedit🙂
 
Jana niliishiwa salio kwenye simu yangu nikamuomba mke wangu aniazime simu yake nipate kumpigia jamaa yangu.

Nikapiga kwa ninayemtaka. Hapo alikuwa anakoga nikasema wacha nizame kwenye gallery nione picha za kipenzi changu❤️❤️ asee sikuamini nilichokiona.

Nimekuta picha zangu 71 za makalio tu tena yakiwa naked(uchi)😭😭😭 yaani mimi nikilala kumbe huwa ananifunua ananipiga picha.

Bado sijamwambia naombeni mnisaidie ushauri nimfanye nini.
Ninaipinga Taasisi "NDOA" Kwa Nguvu zangu zote.
 
Wewe ndiye mwenye makosa mkuu,kuna sheria ya usiri yaani sheria inayomlinda mtu kuwa na siri zake binafsi,hata kama ni mkeo au mtoto wako,mama yako,baba yako,mume wako huna haki ya kuchunguza siri zake.akijua unafanya hivyo na kama ushahdi anao anaweza kukufikisha ktk dawati la jinsia adhabu yake ni miezi 6 gerezani au faini isiyopungua milioni mbili au vyote kwa pamoja.. Kaa kmy subiri siku akizisambaza, wewe ndo utakuwa na haki ya kumhoji,kumfkisha mahakamani kwa hatua stahk za kisheria.
Nimempa talaka,na mimi nikampiga na nikahakikishia picha zote alizopiga nimezifuta.
 
Mkiachana ataedt kuwa ulikuwa unaliwa na kuwatumia mabasha matako yako.

Wanawake hawa ni balaa siku hizi maisha ni kuviziana, halafu kwa nini ulale matako wazi huoni kama unawapa wepesi mapepo kukufumua malinda????..
Mzee picha nimehakikisha hazijatumwa kokote na zimefutwa ila ndjo hivyo nishamuacha tena
 
Back
Top Bottom