Mke wangu amenipiga picha za makalio na kuzisave kwenye gallery

Jana niliishiwa salio kwenye simu yangu nikamuomba mke wangu aniazime simu yake nipate kumpigia jamaa yangu.

Nikapiga kwa ninayemtaka. Hapo alikuwa anakoga nikasema wacha nizame kwenye gallery nione picha za kipenzi changu❤️❤️ asee sikuamini nilichokiona.

Nimekuta picha zangu 71 za makalio tu tena yakiwa naked(uchi)😭😭😭 yaani mimi nikilala kumbe huwa ananifunua ananipiga picha.

Bado sijamwambia naombeni mnisaidie ushauri nimfanye nini.
Mpe alinyonye, analimezea mate. Wewe na yeye wote mko sawa, yeye kukupiga picha makalio yako ila kichefuchefu zaidi ni wewe kulimwaga janvini.
Kati yenu nashindwa kufahamu nani kichaa zaidi ya mwenzake.
 
Kuna msela anampenda yeye na wewe bwana ake
Kukutongoza kidogo changu
Hiki najitosheleza kipi ulikosa
We mchumba ulipata cha ajabu leo unaniacha
Eti unasema una bahasha wako
Kudadeki nakupenda ww na huyo bwana ako
Nimesema sikuachi
Nakupenda wewe na huyo bwana wako
Ooh jamni kudadeki nakupenda wewe
Na huyo bwana wako
Nimesema sikuachi
Nakupenda wewe na huyo bwana wako
Oya we (oya we)

View: https://youtu.be/I590Q-MH0vQ?si=OcGpfAXbOPtoLU6z
 
Jana niliishiwa salio kwenye simu yangu nikamuomba mke wangu aniazime simu yake nipate kumpigia jamaa yangu.

Nikapiga kwa ninayemtaka. Hapo alikuwa anakoga nikasema wacha nizame kwenye gallery nione picha za kipenzi changu❤️❤️ asee sikuamini nilichokiona.

Nimekuta picha zangu 71 za makalio tu tena yakiwa naked(uchi)😭😭😭 yaani mimi nikilala kumbe huwa ananifunua ananipiga picha.

Bado sijamwambia naombeni mnisaidie ushauri nimfanye nini.
Pengine mkeo ana mashaka na mienendo yako, hivyo anafanya research. Hebu angalia hizo picha zote zimepigwa siku moja au zimepigwa kwa interval.

Kama zimepigwa kwa interval, pengine anajaribu kuangalia kama kuna changes zozote zinazojitokeza.
 
Umetambuaje hiyo ni mikalio yako au umeyachora tattoo hivyo kuwa rahisi kujitambua.
Yaonyesha atakuwa anawaonyesha wadau wakifika dau nono ndo atakujuza upate mapesa kwa wadau walofika bei
 
Manama sana usiku ukiwa umekula? Ama mchana muda wowote unaachia mashuzi? Km ni Ndiyo anataka kujua kama kumelegea hapo kwenye kitobo! Punguza kujamba na fanya mazoezi ya kukaza misuli
 
Jana niliishiwa salio kwenye simu yangu nikamuomba mke wangu aniazime simu yake nipate kumpigia jamaa yangu.

Nikapiga kwa ninayemtaka. Hapo alikuwa anakoga nikasema wacha nizame kwenye gallery nione picha za kipenzi changu❤️❤️ asee sikuamini nilichokiona.

Nimekuta picha zangu 71 za makalio tu tena yakiwa naked(uchi)😭😭😭 yaani mimi nikilala kumbe huwa ananifunua ananipiga picha.

Bado sijamwambia naombeni mnisaidie ushauri nimfanye nini.
yawezekana anapenda pegging
 
Back
Top Bottom