Mke wangu amenipiga picha za makalio na kuzisave kwenye gallery

Anakutafutia wawekezaji.
 
Kama nikweli huo niudhalirishaji either anatatizo la kisaiklojia huenda yuko addicted mambo flnivi
 
Usioogope mkuu...hata wakiona rafiki zake hawatajua kama kalio ni lako hata ukiamua kulipost hapa hatujui kama ni lako still πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚



Don't worry hebu mwambie shemu apost hapo πŸ˜€πŸ˜€
 
Hebu weka picha tatu tuzifananishe ili tuthibitishe kuwa ni za mtu mmoja.
 
Mwanaume unalalaje hadu unapigwa picha za makalioni hujuwi. Wanaume hawalali wanapumzika tena siyo kizembe hivyo kama unajifunika kanga vile. Umetukosea wanaume wenzako heshima. Funika tako unapo lala.
Mzee umeongea kea hisia sana .mm ni mwanaume tena sawaswa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…