planexboi
Member
- Aug 5, 2021
- 45
- 229
Week mbili sikuwepo nyumbani, nimerudi jana wife kanipokea vizuri tu, sasa inshu imetokea usiku wa kuamkia leo. Tena yeye ndo aliomba mchezo kwa kudai amenimic sana, mwanaume nikaitikia.
Wakati naendelea kuchakata niliona kama anatetemeka hivi afu kwa mbaali nikamsikia anasema Alexiiiiii (kwa sauti ya chini kabisa) nikashtuka nikamuuliza Alex ni nani, akajibu kwa mshangao na kuhoji Alex amehusikaje hapa ei mbona sijataja neno Alex.
Tangu usiku huo nilimwambia akalale sebuleni ili asubuhi anipe maelezo ya kueleweka la sivyo nikitoka kazini nisimkute.
ALEX ni nani, ni sharobaro flani hivi bodaboda wa mtaani kwetu, niliwahi kusikia kwa watu anachukua wake za watu ila sina uhakika.
Jioni narudi nyumbani, maoni yenu wadau.