rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
Mambo yapo haya... Jana tu mimi inenitokea sem nilizugaa balaaaa...!!!Chai Mbovu Kuwahi Kutokea JF
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo yapo haya... Jana tu mimi inenitokea sem nilizugaa balaaaa...!!!Chai Mbovu Kuwahi Kutokea JF
Kwendaaaaa haipoooo haipoo.. Mimi ikinikuta na nikataja jina la manzi ninaemgonga why nisitaje jina la mwanangu au beki tatu ambae kila siku nipo nae?????? UNATAJA JINA LA ALIEKUPA UTAMU.Acheni kumtisha mwenzenu bana,inawezakana Alex huwa tu anakuja nyumbani kuleta vitu vya sokoni hivyo mkewe kazoeana naye...
Kuomba ushauri sio kujianika.
Nakufuatilia mkuu. Acha hiyo takataka ingekuwa ni yenyewe ingekuacha bila huruma.mkewangu kanitumia sms nying sana za kuomba msamaha nimepiga kmya,sauti ya kumtaja alex niliisikia kwa umakini mno ,
Amani ya uongo..Mi naona hapo tarizo siyo alex kumega mkeo. Tatizo ni elex kujulikana kwa tabia ya kula wake za watu. Kwanini usiashumu tu wife alitaja jesus ukasikia vibaya ili uupe amani ya uongo moyo wako ndugu
Malaya na wachawi BIBLIA imetamka WAACHWE..!!Alex ni bodaboda huenda huwa anambeba mkeo pale anapoenda sokon kuchukua mahitaji ya nyumbani
Sasa kilichofanya amtaje kakumbuka zile speed za bodaboda wakati anapowahi nyumbani kukupikia mme wake ili ukirudi ukute kila kitu kipo sawa.
Mkeo huenda anakupenda japo Kuna washauri watataka umpoteze
Allex pia ni gari ndugu mume wa mke...Week mbili sikuwepo nyumbani, nimerudi jana wife kanipokea vizuri tu, sasa inshu imetokea usiku wa kuamkia leo. Tena yeye ndo aliomba mchezo kwa kudai amenimic sana, mwanaume nikaitikia.
Wakat naendelea kuchakata niliona kama anatetemeka hivi af kwa mbaali nikamsikia anasema alexiiiiii (kwa saut ya chini kabsa) nikashtuka nikamuuliza Alex ni nani, akajibu kwa mshangao na kuhoji Alex amehusikaje hapa ei mbona sijataja neno Alex.
Tangu usiku huo nilimwambia akalale sebuleni ili asubuh anipe maelezo ya kueleweka la sivyo nikitoka kazini nisimkute.
ALEX ni nani ni sharobaro flani Hivi bodaboda wa mtaani kwetu ,niliwah kusikia kwa watu anachukua wake za watu ila sina uhakika.
Jion narudi nyumban ,maoni yenu wadau
Copy that !Man down I repeat man.
Do you copy that?
We've been hit, we need backup!