Mama Terry
JF-Expert Member
- May 20, 2014
- 420
- 573
Jaman acha kumpa mwenzio stressDaah!! Pole sana mkuu,, Alex kashakuzid kete ya namna ya kucharaza mbususu ya mkeo kuliko wewe mmiliki halali!
Kuanzia leo usile chips na mafutamafuta!
Kula karanga ,, mihogo mibichi, dona na fanya mazoezi upunguze minyamanyama na kitambi,, afu mvutie mkeo masaa matatu ya match kila siku,, hapo lazima amsahau Alex!
Usimwache mkeo kisa umegongewa,, kumbuka kabla yako walikuwepo waliomgonga