Mke wangu ametulaza njaa kwa mapishi ya YouTube

Mke wangu ametulaza njaa kwa mapishi ya YouTube

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
978
Reaction score
2,313
Niliambiwa kuna chakula nipikiwe, chakufanya, nimtume boda ingredients, nikasema sawa.

Ingredients zikaja, mapishi yakaanza, na tukaandaa matumbo ya chakula kizuri.

Chakula kimeiva, kila anaekula haelewi, sasa sijui kakosea steps au ni vipi ila haya mapishi ya YouTube sio poa kabisa.
 
8BD01C1B-183E-4715-AA20-49D441CA0D77.jpeg
 
Niliambiwa kuna chakula nipikiwe, chakufanya, nimtume boda ingredients, nikasema sawa.

Ingredients zikaja, mapishi yakaanza, na tukaandaa matumbo ya chakula kizuri.

Chakula kimeiva, kila anaekula haelewi, sasa sijui kasosea steps au ni vipi ila haya mapishi ya YouTube sio poa kabisa.

Utaweza ndoa kweli wewe? Angalia nia yake njema na sio matokeo, Mbona wewe humridhishi na ajaja hapa kusema?
 
Back
Top Bottom