Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Yani kuchemsha tambi nako kunakushinda?Piga chini!!!!
Ila you tube me mwenyewe ilinipa hasara kwenye mapishi ya tambi nyama Bora kumfatilia Mwinchaluwi
Au wewe ndio wale wanazikata tambi ?badala ya kuchemsha maji yakishachemka ndio unaweka mafuta na chumvi na kuziingiza tambi nzima nzima na urefu wake bila kuzikata.
Kuandaa rost ya nyama ya kuchanganya na tambi kunakushinda?