Mke wangu ametulaza njaa kwa mapishi ya YouTube

Mke wangu ametulaza njaa kwa mapishi ya YouTube

Mimi kwetu kuna kipindi waligundua kuweka vitunguu swaumu kwenye mboga aisee tulikoma kila mboga wanayaweka tu.
haya mapishi ya kuiga shida sana
 
  • Thanks
Reactions: EEX
Msamehe ni ajali kazini
Wanawake tunapitia mengi sana ,😂😂
 
Pekee nilichogundua kuhusiana na upishi mzuri ni kipaji. Mtu anaweza kujua kupika lakini asiwe na kipaji cha kupika.

Ukitaka kufahamu mwenye kipaji cha upishi kwa njia rahisi ni anaweza kupika chochote bila kuonja kabisa na c

ila kitu kikawa on point. Na pia anaweza kuoncrra pishi jipya akalichukua kama wazo tu kisha akapika kwa namna anavyoona yeye.
C
Hivyo basi, mapishi ni karama. Nia njema ya mkeo usimvunje moyo. Taratibu ataweza kuwaleteeni mapishi mapya mkafurahia, mpeni moyo na kumshauri kwa upendo alichokosea.
Best woman. Hapo tu
 
Nilipika biriyani siku Moja tulikula mimi na kuku tu, ikaja vitumbua wakavisusia ila huku uswahilini ni waroho walifakamia majirani vikaisha, nikipata Brenda nitapika tena vitumbua😃😃😃
 
Pale muha anapolazmisha kukupkia pizza lazma ukutane na kitu kizto😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom