HeheheNiliambiwa kuna chakula nipikiwe, chakufanya, nimtume boda ingredients, nikasema sawa.
Ingredients zikaja, mapishi yakaanza, na tulasndaa matumbo ya chakula kizuri.
Chakula kimeiva, kila anaekula haelewi, sasa sijui kasosea steps au ni vipi ila haya mapishi ya YouTube sio poa kabisa.
Vip mbona unatuliza watutulia wewe
tulia wewe
Wewe chawa utalala saa ngapiPiga chini
Huku nilipo ni saa 9:54 AMWewe chawa utalala saa ngapi
Hapo dar huwa ndio muda wa kwenda job huu.. mnateseka sanaHuku nilipo ni saa 9:54 AM
Niliambiwa kuna chakula nipikiwe, chakufanya, nimtume boda ingredients, nikasema sawa.
Ingredients zikaja, mapishi yakaanza, na tukaandaa matumbo ya chakula kizuri.
Chakula kimeiva, kila anaekula haelewi, sasa sijui kasosea steps au ni vipi ila haya mapishi ya YouTube sio poa kabisa.