Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Yani kuchemsha tambi nako kunakushinda?Piga chini!!!!
Ila you tube me mwenyewe ilinipa hasara kwenye mapishi ya tambi nyama Bora kumfatilia Mwinchaluwi
Hivi humu kichwani mna akili kweli? Mpikie mke wako aonje mapishi yako na wewe.Divorce that hoe
Hakuna chai ya nazi tusidanganyaneHivi humu kichwani mna akili kweli? Mpikie mke wako aonje mapishi yako na wewe.
Kupika ni sanaa na kuna ukanda wa mapishi, Tanga kuna chai ya nazi.
Chapati tu na maandazi ni sanaa kuandaa hizo bites, utakuta binti wa kiswahili mdogo tu anatengeneza chapati laini tamu, siri ipo kwenye ukandaji wa ngano.
Hawa kina mama wa Kiswahili mitaani wanauza supu kwa buku tu ina radha, wewe mvaa tai unakwenda kuuziwa supu sh elfu tano halafu taste haina mchuzi hauna radja.
Hapo chai ya nazi mkuu hio ni kamba unataka utupige . Halafu tanga sio kama zamani mimi naijua tanga na viunga vyake angalau watoto wa kidogo wa mjini wanajua ila wa digoni kijijini huko gombero , jasini, kibafuta, ndaoya, chongoleani, etc etc wanajua kupika mihogo na ugali tu wasambaa na wabondei ndio hamna kituHivi humu kichwani mna akili kweli? Mpikie mke wako aonje mapishi yako na wewe.
Kupika ni sanaa na kuna ukanda wa mapishi, Tanga kuna chai ya nazi.
Chapati tu na maandazi ni sanaa kuandaa hizo bites, utakuta binti wa kiswahili mdogo tu anatengeneza chapati laini tamu, siri ipo kwenye ukandaji wa ngano.
Hawa kina mama wa Kiswahili mitaani wanauza supu kwa buku tu ina radha, wewe mvaa tai unakwenda kuuziwa supu sh elfu tano halafu taste haina mchuzi hauna radja.
Wewe hata kukunja chapati hujui, chai ya nazi utaijulia wapi?Hakuna chai ya nazi tusidanganyane
Watoto wadogo mnapenda sana ligi.Ha
Hapo chai ya nazi mkuu hio ni kamba unataka utupige . Halafu tanga sio kama zamani mimi naijua tanga na viunga vyake angalau watoto wa kidogo wa mjini wanajua ila wa digoni kijijini huko gombero , jasini, kibafuta, ndaoya, chongoleani, etc etc wanajua kupika mihogo na ugali tu wasambaa na wabondei ndio hamna kitu
Tena cha mezani, akinyimwa chakula cha chumbani ndio hatari tupu.Wanaume wa siku hizi tuna matatizo sana, yaan chakula tuu mtu anakuja kuanziaha Uzi JF,
Sasa umekuja JF kula? ila inachekeshaNiliambiwa kuna chakula nipikiwe, chakufanya, nimtume boda ingredients, nikasema sawa.
Ingredients zikaja, mapishi yakaanza, na tukaandaa matumbo ya chakula kizuri.
Chakula kimeiva, kila anaekula haelewi, sasa sijui kasosea steps au ni vipi ila haya mapishi ya YouTube sio poa kabisa.
Pekee nilichogundua kuhusiana na upishi mzuri ni kipaji. Mtu anaweza kujua kupika lakini asiwe na kipaji cha kupika.Niliambiwa kuna chakula nipikiwe, chakufanya, nimtume boda ingredients, nikasema sawa.
Ingredients zikaja, mapishi yakaanza, na tukaandaa matumbo ya chakula kizuri.
Chakula kimeiva, kila anaekula haelewi, sasa sijui kasosea steps au ni vipi ila haya mapishi ya YouTube sio poa kabisa.
Mfano nyama tu, Wachaga wa rombo kwenye majiko wameibunia kila aina ya mapishi.Pekee nilichogundua kuhusiana na upishi mzuri ni kipaji. Mtu anaweza kujua kupika lakini asiwe na kipaji cha kupika.
Ukitaka kufahamu mwenye kipaji cha upishi kwa njia rahisi ni anaweza kupika chochote bila kuonja kabisa na kila kitu kikawa on point. Na pia anaweza kuona pishi jipya akalichukua kama wazo tu kisha akapika kwa namna anavyoona yeye.
Hivyo basi, mapishi ni karama. Nia njema ya mkeo usimvunje moyo. Taratibu ataweza kuwaleteeni mapishi mapya mkafurahia, mpeni moyo na kumshauri kwa upendo alichokosea.
Hapana hao siyo wanaume ni wavulana, shida ipo kwenye malezi.Wanaume wa siku hizi tuna matatizo sana, yaan chakula tuu mtu anakuja kuanziaha Uzi JF,
Hapa kwenye supu umepiga penyewe mkuu, migahawa mingi mikubwa supu kwao ni kipengele, chapati ndio mamaa wengi hawazijulii.Hivi humu kichwani mna akili kweli? Mpikie mke wako aonje mapishi yako na wewe.
Kupika ni sanaa na kuna ukanda wa mapishi, Tanga kuna chai ya nazi.
Chapati tu na maandazi ni sanaa kuandaa hizo bites, utakuta binti wa kiswahili mdogo tu anatengeneza chapati laini tamu, siri ipo kwenye ukandaji wa ngano.
Hawa kina mama wa Kiswahili mitaani wanauza supu kwa buku tu ina radha, wewe mvaa tai unakwenda kuuziwa supu sh elfu tano halafu taste haina mchuzi hauna radha.
Ukiona supu inazidi bei ya shilling 2000 na chapati bei inazidi shilling 300 ujuwe hapo unalipishwa kodi ya jengo na viti na si chakula.Hapa kwenye supu umepiga penyewe mkuu, migahawa mingi mikubwa supu kwao ni kipengele, chapati ndio mamaa wengi hawazijulii.
Ila huku kajambanani, supu inakua supu kweli na chapati laini na bei chee.
Ndio maana vijana wanaamua kula chips tu, yani unakuja mgahawa wana jibrand kama executive vile ila mapishi hamna kitu. Halafu wanaweka sana haya maviungo artificial .Hapa kwenye supu umepiga penyewe mkuu, migahawa mingi mikubwa supu kwao ni kipengele, chapati ndio mamaa wengi hawazijulii.
Ila huku kajambanani, supu inakua supu kweli na chapati laini na bei chee.
Kuna sehemu chai 500 chapati 500 ila viweke mdomoni sasa , yani daslam shida sanaUkiona supu inazidi bei ya shilling 2000 na chapati bei inazidi shilling 300 ujuwe hapo unalipishwa kodi ya jengo na viti na si chakula.