Mke wangu ametulaza njaa kwa mapishi ya YouTube

😂😂 ujasema bado chakula gani
 

Malezi yako tangu utoto si mnasema mtoto wa kiume asioshe vyombo ata anacho tumia
 
Mimi kwetu kuna kipindi waligundua kuweka vitunguu swaumu kwenye mboga aisee tulikoma kila mboga wanayaweka tu.
Iyo mboga siri ase kitunguu swahumu kinatoa hamu ya kula atakama chakula unakipenda ukishaweka kwenye mboga tu kosa alafu kinakuwa kibishi ndio shida
 
Hahaha
 
Dah kwa mimi kupika ni muhimu sana bro ili kupunguza gharama za maisha itabidi nikutafute aisee
Pika kwa sababu za kiafya, taste na kula unachotaka, lakini kibongobongo kupiga home ni gharama kuliko kula juu kwa juu.
 
Mhm ni kweli ila bongo inakuaje kupika inakua juu zaidi ?
Buku, buku jero, buku mbili unakula kwa vendors wa misosi.

Kwa wenzentu hakuna hawa mama lishe.

Imagine ukienda kwenye chips vumbi 5000 inaondoka kwa chakula, wasingekuwepo hawa mama lishe bachela wote wangekuwa wanapika.

Hata majumbani kama mko wawili au watatu usiku unatuma hotpot kununuwa chakula kwao unaokowa muda na gas.
 
Mnajidanganya sana hasa kwa US kuna mama ntilie kina kona na vyakula mpaka dola 4 mpaka kumi kwa kibongo ni kawaida tu, je unafahamu US kuna maduka kila kitu ni dollars moja ? 2000 mpaka 3000 ya kitanzania?
 
Dollars Tree?
 
Ndio maana vijana wanaamua kula chips tu, yani unakuja mgahawa wana jibrand kama executive vile ila mapishi hamna kitu. Halafu wanaweka sana haya maviungo artificial .
Migahwani tatizo nadhani ni gharama za uendeshaji ni kubwa hivyo wanajitahidi kupunguza baadhi ya vitu ili wafidie gharama.
 
Ukiona supu inazidi bei ya shilling 2000 na chapati bei inazidi shilling 300 ujuwe hapo unalipishwa kodi ya jengo na viti na si chakula.
Mimi huwa nakimbia miguu iguse kisogo, supu zaidi ya buku 2 na chapati jero. Chapati zenyewe kaukau na supu finyango 2 kwenyd kibakuli kidogo.

Aloo biashara hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…