Pekee nilichogundua kuhusiana na upishi mzuri ni kipaji. Mtu anaweza kujua kupika lakini asiwe na kipaji cha kupika.
Ukitaka kufahamu mwenye kipaji cha upishi kwa njia rahisi ni anaweza kupika chochote bila kuonja kabisa na c
ila kitu kikawa on point. Na pia anaweza kuoncrra pishi jipya akalichukua kama wazo tu kisha akapika kwa namna anavyoona yeye.
C
Hivyo basi, mapishi ni karama. Nia njema ya mkeo usimvunje moyo. Taratibu ataweza kuwaleteeni mapishi mapya mkafurahia, mpeni moyo na kumshauri kwa upendo alichokosea.