Mke wangu ameweka kijiti cha uzazi wa mpango bila kunishirikisha tena nkiwa mbali kwa miezi minne

MKARASINGA

Senior Member
Joined
Jun 9, 2018
Posts
135
Reaction score
222
Rejerea mada juu.

am 30yrs nna mke na mtoto wa kiume(1.7yrs). Nilikua mbali na mke kwa miezi minne, narudi ananipa hyo taarifa dah. Nmewaza sana aisee

Maswali najiuliza ni haya
1. Ameweka nkiwa sipo ili azuie mimba ya nani.

2. Kwa nini asinishirikishe hata kama niko mbali.

Kusema kweli mke wangu sio mjuaji, wala wa kujikuta born town wala sio mtu wa tamaa kivile na pia ni mvumilvu ila kwa hili sijui nini kimemshawishi.

Nikiwa kama victim nahitaji ushauri jamani. siwezi kunyamaza huku naumia
 
Was wasi ni akili lakini wivu ukipitiliza ni kidonda sisi wanajf hatuwezi kukupa jibu sahihi sana sana tutakupotosha
👉tukisema unagongewa
👉Tukisema mwenzio hataki masumbufu ya kulea tena hivi karibuni

Mwisho kaa nae mkiwa kwenye hali ya furaha ndio umuulize usipanick broo relax tuishi "nao kwa akili"
 
Rejerea mada juu.

am 30yrs nna mke na mtoto wa kiume(1.7yrs). Nilikua mbali na mke kwa miezi minne, narudi ananipa hyo taarifa dah. Nmewaza sana aisee

Maswali najiuliza ni haya
1. Ameweka nkiwa sipo ili azuie mimba ya nani.

2. Kwa nini asinishirikishe hata kama niko mbali.

Kusema kweli mke wangu sio mjuaji, wala wa kujikuta born town wala sio mtu wa tamaa kivile na pia ni mvumilvu ila kwa hili sijui nini kimemshawishi.

Nikiwa kama victim nahitaji ushauri jamani. siwezi kunyamaza huku naumia
Hayo maswali yote ulivomuuliza yeye amakujibu vipi?
Majibu yote utayopewa humu jamvini kutokana na maswali yako yatakua ni nadharia
Majibu anayo mkeo
 
Rejerea mada juu.

am 30yrs nna mke na mtoto wa kiume(1.7yrs). Nilikua mbali na mke kwa miezi minne, narudi ananipa hyo taarifa dah. Nmewaza sana aisee

Maswali najiuliza ni haya
1. Ameweka nkiwa sipo ili azuie mimba ya nani.

2. Kwa nini asinishirikishe hata kama niko mbali.

Kusema kweli mke wangu sio mjuaji, wala wa kujikuta born town wala sio mtu wa tamaa kivile na pia ni mvumilvu ila kwa hili sijui nini kimemshawishi.

Nikiwa kama victim nahitaji ushauri jamani. siwezi kunyamaza huku naumia
Kwa hiyo ungefurahi kama ungelimkuta na ujauzito wa miezi mitatu?
 
Kwani unafikiri kama angekuwa na hayo unayotaka kuyajengea hoja angeshindwa kuyafanya kisa tu hajatumia uzazi wa mpango? Kama ni suala ambalo hujalipenda na limekuumiza tumia wakati wako kumwambia ukweli badala ya kuja kulalamika huku.

Mwambie wazi kwamba hujapenda alichokifanya na usingependa achukue maamuzi bila kukushirikisha.
 
Rejerea mada juu.

am 30yrs nna mke na mtoto wa kiume(1.7yrs). Nilikua mbali na mke kwa miezi minne, narudi ananipa hyo taarifa dah. Nmewaza sana aisee

Maswali najiuliza ni haya
1. Ameweka nkiwa sipo ili azuie mimba ya nani.

2. Kwa nini asinishirikishe hata kama niko mbali.

Kusema kweli mke wangu sio mjuaji, wala wa kujikuta born town wala sio mtu wa tamaa kivile na pia ni mvumilvu ila kwa hili sijui nini kimemshawishi.

Nikiwa kama victim nahitaji ushauri jamani. siwezi kunyamaza huku naumia
Relax, hata uwe Bingwa na hodari wa kuchépuka , ipo siku utajulikana tu
 
Back
Top Bottom