Mke wangu ameweka kijiti cha uzazi wa mpango bila kunishirikisha tena nkiwa mbali kwa miezi minne

Mke wangu ameweka kijiti cha uzazi wa mpango bila kunishirikisha tena nkiwa mbali kwa miezi minne

Duuh pole sana mkuu kwa hiyo changamoto, hawa wanawake wanashida sana sikuhizi
Hao watu ukiwachukulia serious hauwezi kuishi nao ,bora uwapuuzie tu.

Sasa mmewe hayupo halafu kaweka kijiti means alikuwa anauza mechi?

Halafu hivyo vijiti vibaya sana vinawaletea shida sana ,anaweza akawa anaenda Moon hata 2 times kwa mwezi halafu kwa siku hadi 7 ndiyo inakata.
 
Wewe endelea kulala na kina dada bila kuomba mchezo, I guarantee you usikute washakuona wewe ni wale wale tu (kijanadume wa Dar), hauna jipya na ndiyo maana wanapenda kuja kwako wakijuwa hauna lolote.
Kuomba mchezo kwa kila mdada utakayekuwa na urafiki naye hakukufanyi ww uonekane rijali... Zaidizaidi utaonekana malaya km malaya wengine

Tujifunze kufanya kila kitu kwa kiasi, itatusaidia sana kuliko kuparamia kila kilicho mbele yako!
 
Wanawake ambao wanalea watoto wakienda Clinic huwa wanabembelezwa sana kuwekewa buduma ya uzazi wa mpango hasa njia ya kijiti. Na huambiwa ukitaka kuzaa tena njoo tukutoe, hivyo wanamwake wengine huona sio big issue ya kujadiliana na mwenza wake. Tatizo ndio huanzia hapo. Inawezekana hata yeye aliwaambia hao wauguzi kuwa mume wangu hana taarifa wakamwambia haina shida kwani mnalea mtoto mdogo mkitaka kuzaa tena njoo ukitoe. Na huambiwa njia ya uzazi wa mpango humsaidia hata mwenza wako kwa atafurahia tendo kama zamani bila kumwaga manii nje au kutumia Condom kuogopa ujauzito.
Na kumbuka huduma hiyo ni bure kabisa.
Kwa hiyo ushauri wangu usimfikirie vibaya kaa nae chini mwambie hujapenda alichofanya siku nyingine akushirikishe.

asante kwa kuniweka sawa
 
Tengeneza safari ,then utafute mtu wa kumfuatilia mienendo yake wakati wewe umesafiri,kama Kuna jambo anafanya Kuna kitu utakuja kugundua,unaweza kuweka camera kwa siri ili ujue kama anatoka nyumbani pindi haipo.
 
Kuna NJEMBA linapasua MBUNYE ya mkeo.

Ndo unachotaka kusikiaaa.....

SASA BASI, mfukuze mkeo.

Cc: Mbaga Jr Poor Brain Lamomy

mashoga hamna nafasi ya kusikilizwa. We ukiamua kua shoga utulize. We kila siku unajtangaza ni bwabwa afu unataka kusikilizwa na kutoa maoni akat umeshndwa tunza jicho lako.
 
1. Sawa hajakushirikisha je angekushirikisha ungekubali? Hapa kuna mawili aidha mkeo kakuona ww ni mtu wa show show 7/7 za wiki afu hujui kalenda na aidha katika maongezi yenu aliwahi kukusikia unadiss mambo ya sindano na jiti. Akasema isiwe kesi dawa yako ndogo tu.
2. Mkuu naona ww ni mvulana hivi hili swala ndo mpka ulete jf? Ndio maana siku hizi ndoa zimekuwa ndoano. Mbona hili ni la kukaa nae tu na kuzungumza afu kingine mnaweza mkaenda kwa daktari akaakitoa mbona easy tu.
 
Back
Top Bottom