MKARASINGA
Senior Member
- Jun 9, 2018
- 135
- 222
Wahenga walisema kuchapiwa ni siri ya ndani
Ebu iweke 🤣kudombewa ni siri ya kitanda na pichu🤣Wahenga walisema kuchapiwa ni siri ya ndani
Hayo maswali yote ulivomuuliza yeye amakujibu vipi?Rejerea mada juu.
am 30yrs nna mke na mtoto wa kiume(1.7yrs). Nilikua mbali na mke kwa miezi minne, narudi ananipa hyo taarifa dah. Nmewaza sana aisee
Maswali najiuliza ni haya
1. Ameweka nkiwa sipo ili azuie mimba ya nani.
2. Kwa nini asinishirikishe hata kama niko mbali.
Kusema kweli mke wangu sio mjuaji, wala wa kujikuta born town wala sio mtu wa tamaa kivile na pia ni mvumilvu ila kwa hili sijui nini kimemshawishi.
Nikiwa kama victim nahitaji ushauri jamani. siwezi kunyamaza huku naumia
S ndio mwishowe amchukie mwenzie si Kila mtu Atampa jibu zuri humu kuna Watu na viatu🤣Hayo maswali yote ulivomuuliza yete amakujibu vipi?
Majibu yote utayopewa humu jamvini kutokana na maswali yako yatakua ni nadharia
Majibu anayo mkeo
Sawa nakubali, ila kwanini asingenijulisha ili kuondoa sintofaham.Kwenye clinic anapompeleka mtoto kupima ile Kila mwezi wanatoaga elimu ya uzazi wa mpango na hivi mtoto Bado mdogo
Nikawaida usianze kutafuta yasiyokuwepo
Kwa hiyo ungefurahi kama ungelimkuta na ujauzito wa miezi mitatu?Rejerea mada juu.
am 30yrs nna mke na mtoto wa kiume(1.7yrs). Nilikua mbali na mke kwa miezi minne, narudi ananipa hyo taarifa dah. Nmewaza sana aisee
Maswali najiuliza ni haya
1. Ameweka nkiwa sipo ili azuie mimba ya nani.
2. Kwa nini asinishirikishe hata kama niko mbali.
Kusema kweli mke wangu sio mjuaji, wala wa kujikuta born town wala sio mtu wa tamaa kivile na pia ni mvumilvu ila kwa hili sijui nini kimemshawishi.
Nikiwa kama victim nahitaji ushauri jamani. siwezi kunyamaza huku naumia
Relax, hata uwe Bingwa na hodari wa kuchépuka , ipo siku utajulikana tuRejerea mada juu.
am 30yrs nna mke na mtoto wa kiume(1.7yrs). Nilikua mbali na mke kwa miezi minne, narudi ananipa hyo taarifa dah. Nmewaza sana aisee
Maswali najiuliza ni haya
1. Ameweka nkiwa sipo ili azuie mimba ya nani.
2. Kwa nini asinishirikishe hata kama niko mbali.
Kusema kweli mke wangu sio mjuaji, wala wa kujikuta born town wala sio mtu wa tamaa kivile na pia ni mvumilvu ila kwa hili sijui nini kimemshawishi.
Nikiwa kama victim nahitaji ushauri jamani. siwezi kunyamaza huku naumia
Kwa hiyo ungefurahi kama ungelimkuta na ujauzito wa miezi mitatu?
Ni chimali gunu waika gutali nalulimi nolo lutyali go.watoto wa wasimbe utawajua tu hata kwa mwandiko.
WEEE hahaha nimesema watoto wa wasimbe msijbu chochote au hukuwepo.Kwa hiyo ungefurahi kama ungelimkuta na ujauzito wa miezi mitatu?