Mke wangu ameweka kijiti cha uzazi wa mpango bila kunishirikisha tena nkiwa mbali kwa miezi minne

We nae si uchonvywe ujue kama kitu aijaguswa mda mrefu .
 
Tuliza wenge mzee umesahau wazee wako walikua wanafanya nn nyakati za nyuma
 
Sawa,umemuelezea mkeo kwa maneno mazuri,basi kumbe mkeo ni mtu msikivu,kaa nae chini muulize,kumbuka mkeo ni binafamu hivyo kukosea ni kawaida tu,usipanik wala kumhisi vibaya,maisha ni safari ndefu yenye milima na mabonde,ishini kwa kuchukuliana
 
Mzee watu wanamgonga huyo.
Samahani lakimi/
Ushauri: wanawako wote wanafanana huyo usimuache mchukue uishi naye usiishi mbali na familia yako kama inawezekana
 
Kuna watu mna wasiwasi uliopitiliza kiasi kwamba unajipata umehukumu wenzako kwa nadharia ulizojiaminisha kichwani...

Wengi wa wanawake wanaochepuka huwa hawogopi ujauzito (sababu utabambikiziwa ikibidi au zitamezwa P2 au itashushwa injini) wala magonjwa (baadhi huwa wana akili ya kupimana kabla ya jigjig)
 

Huku Yeye anatuambia wewe nyuki wa mashineni hung'ati.
 
Sawa nakubali, ila kwanini asingenijulisha ili kuondoa sintofaham.
jamaa wala usiwe na wasiwasi, hiyo hali ni kama yangu ilivyotokea ila nikaanza uchunguzi, na Mungu mwema nilikuwa afande (upelelezi) kwahiyo sikupata shida ya kuelewa ninachokihitaje, majibu nikakuta alivopeleka mtoto hosptal katika maongezi dokta kamwambia aweke maana siku Baba akifika (lazima) hatajari stuation yako kama ni yakubeba mimba au la, Tatizo wife ni mpole hata hilo hakuniambia, aliamini nampenda sitajari, nikapotezea hata sasa na uzee wetu tunadunda, Ndugu leave it pambana na maisha.
 
Duuh pole sana mkuu kwa hiyo changamoto, hawa wanawake wanashida sana sikuhizi
Kwa nini useme HAWA WANAWAKE instead of HUYU MWANAMKE?? Mwenge shida ni huyu hapa na sio wanawake wote
 
mitoto iliyolelewa na makahaba huwa inakua na nidham mbovu, utatatuliwa siku si nyng, with your gayish omen.
Wewe k kibuyu mimi nna matusi toka enzi upo kijijini kwenu unakunya kwa mafungu! crying baby azz na huna tusi jipya kolo wewe
 
Ukitaka hack simu yake utajua sababu za kuweka kijiti. Ila uwe na moyo wa jiwe na tayari kwa utakayoyakuta.
 
Unatombewa, stuka.
 
Iko hivi mjumbe

Kuna jomba hapo anaitomber, wewe ni wa status tu ya kuwa ni mumewe ila kiuhalisia iko hivyo unataka, iko hivyo hautaki. Shituka acha kupangwa humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…