Mtanzatozo
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 971
- 1,165
Kwa mimba ya kwanza Quickening/Mtoto kucheza uanza kwenye week ya kumi na sita au zaidi.Habari wakuu
Mke wangu ana mimba ya miezi mitatu na wiki mbili ila mtoto anacheza! Je, hili sio tatizo?
Alhamdulillhah mkuu! hii mimba yke ya pili..! hesabu yake anasema ni miezi 3 na wiki mbili na leo kliniki yakeKwa mimba ya kwanza Quickening/Mtoto kucheza uanza kwenye week ya kumi na sita au zaidi.
Na Kwa Mimba ya pili nakuendelea Mama anaweza kuhisi Quickening hata ndani ya week 13.
Mkeo kwa sasa ana almost week 15.
Je hii ni mimba yake ya kwanza?
Mimba haisebiwi kwa miezi bali week.alhamdulillhah mkuu! hii mimba yke ya pili..! hesabu yake anasema ni miezi 3 na wiki mbili na leo kliniki yake
comfirmed kasema 14 wkMimba haisebiwi kwa miezi bali week.
Mkeo ana walau mimba ya week 15.
Habari wakuu
Mke wangu ana mimba ya miezi mitatu na wiki mbili ila mtoto anacheza! Je, hili sio tatizo?
anaweza kuwa na mimba ya wiki 17 na aka blidi mkuu?Hapa kunaweza kuwa na vitu viwili...
anaweza kuwa na mimba ya wiki 17 na aka blidi mkuu..?