kyalankota
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 2,594
- 1,462
Aisee! Mke wangu anapenda sana kuimba na pindi akipata muda tukipumzika ananiimbia nyimbo nzuri za mapenzi hadi najisikia raha sana.Kwa kuboresha kipaji chake nikaamua kumnunulia guitar akafurahi sana, ndipo naye juzi akaenda kununua ngoma.
Nilipofika nikaikuta ngoma nikamuuliza imetoka wapi akanambia alienda kuinunua kwa vile guitar ipo inapendeza zaidi ikisindikizwa na mdundo wa ngoma. Kwa kweli nimefurahishwa sana na ubunifu wa mke wangu. Aisee!