Mke wangu ana ngoma, kanieleza wazi alivyoipata

Naona hali ya hewa isha chafuka. Gwa kukaja achana na hii sredi japo ni very enterteining
 
Aisee! Mke wangu anapenda sana kuimba na pindi akipata muda tukipumzika ananiimbia nyimbo nzuri za mapenzi hadi najisikia raha sana.Kwa kuboresha kipaji chake nikaamua kumnulia guitar akafurahi sana, ndipo naye juzi akaenda kununua ngoma.

Nilipofika nikaikuta ngoma nikamuuliza imetoka wapi akanambia alienda kuinunua kwa vile guitar ipo inapendeza zaidi ikisindikizwa na mdundo wa ngoma. Kwa kweli nimefurahishwa sana na ubunifu wa mke wangu. Aisee!

Matako yako!
 
Hahahaha we jamaa aisee dah
 
"Chizi karogwa tena"
 
Back
Top Bottom