Mke wangu ana ngoma, kanieleza wazi alivyoipata

Mke wangu ana ngoma, kanieleza wazi alivyoipata

aisee! Mke wangu anapenda sana kuimba na pindi akipata muda tukipumzika ananiimbia nyimbo nzuri za mapenzi hadi najisikia raha sana.kwa kuboresha kipaji chake nikaamua kumnulia guitar akafurahi sana, ndipo naye juzi akaenda kununua ngoma.

Nilipofika nikaikuta ngoma nikamuuliza imetoka wapi akanambia alienda kuinunua kwa vile guitar ipo inapendeza zaidi ikisindikizwa na mdundo wa ngoma. Kwa kweli nimefurahishwa sana na ubunifu wa mke wangu. Aisee!

ulinkali gwa kukaja.
 
watu wanasoma vichwa vya habari alafu wanatengeneza stori kichwani, wakifungua ndani wakakuta tofauti na walivyo tazamia wanaanza kukasirika, oo unadharau, oo maneno huumba, mara huyu mwehu hana akili, sasa yeye ndo kaandika kumuhusu yeye ninyi mnataka mnavyotaka ninyi, hii sasa shida.
 
Wanajifanya ni akina sheikh yahaya kutabiri mambo ya watu!
 
Back
Top Bottom