luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,160
- 21,676
uyu kaka kaniboa sana yaani nikakaa mkao wa kusoma vizuri kumbe utoto?? ebu kuwa na heshima kwa wakubwa wako.Ha ha haaa! Kumbe mnapenda sana umbea eeh! Aisee! Halafu mlichokitegemea sicho mlichokikuta! Sijui mlijua pana nini! Wengine naona mpaka wamechukia kabisa! Teh teh teh!