Mke wangu ana ngoma, kanieleza wazi alivyoipata

Mke wangu ana ngoma, kanieleza wazi alivyoipata

Ha ha haaa! Kumbe mnapenda sana umbea eeh! Aisee! Halafu mlichokitegemea sicho mlichokikuta! Sijui mlijua pana nini! Wengine naona mpaka wamechukia kabisa! Teh teh teh!

yani wengine tunajizolewa maujiko humu mbio mbio... ukikuta tatizo la mtu unamwambia kuna rafiki yangu naye hivyo hivyo kumbe rafiki mwenyewe ni jf hata simjui... ILA UKOME SI SIFA HIZI
 
Aisee! Mke wangu anapenda sana kuimba na pindi akipata muda tukipumzika ananiimbia nyimbo nzuri za mapenzi hadi najisikia raha sana.Kwa kuboresha kipaji chake nikaamua kumnulia guitar akafurahi sana, ndipo naye juzi akaenda kununua ngoma.

Nilipofika nikaikuta ngoma nikamuuliza imetoka wapi akanambia alienda kuinunua kwa vile guitar ipo inapendeza zaidi ikisindikizwa na mdundo wa ngoma. Kwa kweli nimefurahishwa sana na ubunifu wa mke wangu. Aisee!

Title ya thread inatengeneza dhana fulani lakini kumbe maelezo yake ni kitu kingine. Wewe kyalankota a.k.a Mungu ni Dawa acha kuchezea akili za watu
 
Hahahahaha!!Mie nikajua ngoma ile ya UKIMWI kumbe siyo!!
 
Kastory kazuri ila hakako mahali sahihi kalitakiwa kuwa jukwaa la jokes....
 
Back
Top Bottom