kyalankota
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 2,594
- 1,462
Yaombe utayapata. Mdomo unaumba. Mtu mzima ovyoooooo
Aisee! Mke wangu anapenda sana kuimba na pindi akipata muda tukipumzika ananiimbia nyimbo nzuri za mapenzi hadi najisikia raha sana.Kwa kuboresha kipaji chake nikaamua kumnulia guitar akafurahi sana, ndipo naye juzi akaenda kununua ngoma.
Nilipofika nikaikuta ngoma nikamuuliza imetoka wapi akanambia alienda kuinunua kwa vile guitar ipo inapendeza zaidi ikisindikizwa na mdundo wa ngoma. Kwa kweli nimefurahishwa sana na ubunifu wa mke wangu. Aisee!
Hhaahahaahkunguru uliyekosa mke......ha ha a ahaha nikajua umbea nimeshajiandaaa loh
Fuse zimekatika nini kichwani mkuu?
hhaahahaah
Badae mnalalamika sjuivwatu jf wanachagua sredi za kukoment kwa upuuzi huu bora mods wafute nyuz za kijinga
shoga weee nikajua nishapata umbea marafiki zangu wanaionaga na mastori ya tanzania nzima kumbe yote jamii forum....jamaa analeta utani mweee
shoga weee nikajua nishapata umbea marafiki zangu wanaionaga na mastori ya tanzania nzima kumbe yote jamii forum....jamaa analeta utani mweee