Mke wangu ana tabia za wizi na udokozi

Mungu anakupa wa kufanana nae
 
Ukitaka aache tabia ya wizi usiwe unaficha hela Ila weka hapo sebuleni au chumbani sehemu ya wazi na umwambie hizi hela natafuta ni zetu sote kwahiyo ukihitaji pesa usiogope kunambia ikiwa IPO nitakupa .

Hiyo wallet usiifiche weka juu hapo

Kwakuwa wizi ni matatizo ya akili ambayo husababishwa na scarcity mindset
 
Mpe mkeo hela kama unazo. Usipofanya hivyo atapewa na wengine
 
Sema tu Hawa viumbe hawanaga shukrani kabisa, hata uwajali vipi ni wepesi wa kusahau.
 
Ndo maana tulitahadharishwa mapema sana hawa watu tuishi nao kwa akili kubwa
 
Kwa hiyo elfu 15 ndo imekufanya ulete habari za mkeo hapa??? ndo maana hizi ndo hazidumu 😀 😀 😀
 
Ndo tuseme hela ya matumizi unayompa haitoshi ama vp?
Na ujue kama usinge m'bana angepiga kimya, na kuwa kimya kwake means ataendelea na huo tabia ya wizi, cha zaidi hapo ni ww kuwa mkali, usiwe mpole hata kidogo, ukimnyamazia hyo tabia atarisisha hadi watoto wenu. Kuwa mkali kuwa strict, na ufundishe maadili ya uaminifu nyumbani kwako

#backbenchers
 
Mbali na kodi ya meza je, unampaga mkeo hela zake binafsi za kujihudumia?
 
Bila picha yake huu uzi ni batili, weka picha yake na namba yake ya simu tumshauri
 
Password ya simu yangu, MPESA, na wallet hatogusa yeyote otherwise niwe sipo dunia hii
 
Sawa lakini mke kujuà kazi ya mmewe ni jambo jema sana
 
Mkuu unaweza kuta unaishi na jambaka ambalo linatafutwa miaka 10, polisi wanajua yupo mafichoni kumbe unamfuga ndani? So sad Sana mkuu sasa kuhusu Hilo jipime kwanza udhaifu wako kimapenzi juu yake hrf jipe maamuzi mkuu hili jukwaa halitumiki kuvunja ndoa za wapendanao!
 
Kuna watu wanahitaji therapy aisee. Zungumza nae na ujue kwa nini anafanya hivyo, na alianzaje hako katabia. Kama anahitaji msaada wa wataalam msaidie.

Kuna watu very smart maofisini na wana katabia ka kupiga search. Inasikitisha kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…