Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 17,518
- 20,492
Ona hii ng'ombe nayo!Mke sio ndugu yako, mmekutana tu ukubwani. Uishi naye kwa machale.

Umeongea yasiyoeleweka. Wanaojiweza kiuchumi wapo. Na hii mada inazungumzia udokozi.Hakuna mwanamke aliyeolewa anajiweza kiuchumi.
Mwanamke anayefanya kazi bank kama manager ameolewa na mwalimu bado atahitaji matunzo yote sawa na mwanamke ambaye hana kazi
Hiyo changamoto dogo sana Wala usijaliHabari zenu ndugu zangu....,
Nina mke ambaye naishi nae mwaka wa 3, tuna mtoto mmoja wa kike,sasa Kuna Changamoto nimekutana nayo,,,,
Nina tabia ya kuacha pesa kwenye Wallet,,,sasa nikawa nahisi kama Hela inapungua,,,ila nikawa Sina uhakika,,,ila nikiamua kuwa makini niwe na uhakika kama pesa yangu inatolewa,,,
Siku moja niliweka 70,000/= kwenye wallet,,,baada siku kadhaa nikakuta Kuna 55,000,,,,,nakumuuliza mke wangu kuhusu Hela,akawa amekataa,baadae akakubali. ,baada ya kumbana,,,na akairudisha.,,,na ameniambia alishawahi kutoa mara nyingine.
Sasa ndugu zangu nishaurini...Kuhusu huyu mke...na
Mwkooo akuibiiiHabari zenu ndugu zangu....,

Udokozi hausiani na matunzo. Hiyo ni tabia ya wizi na ukiona mwanamke anadokoa ujue hata kugawa penzi nje kwake ni rahisi sana na kukuua ili arithi mali kwakwe hilo jambo linawezekanaUmeongea yasiyoeleweka. Wanaojiweza kiuchumi wapo. Na hii mada inazungumzia udokozi.
Na kama anahitaji matunzo basi hatunzwi ipasavyo ndio maana anadokoa.
Kama matumizi unazingatia ya uhakika lakini bado anafanya hivyo achana naye, mwizi ni mwizi tuHabari zenu ndugu zangu....,
Nina mke ambaye naishi nae mwaka wa 3, tuna mtoto mmoja wa kike,sasa Kuna Changamoto nimekutana nayo,,,,
Nina tabia ya kuacha pesa kwenye Wallet,,,sasa nikawa nahisi kama Hela inapungua,,,ila nikawa Sina uhakika,,,ila nikiamua kuwa makini niwe na uhakika kama pesa yangu inatolewa,,,
Siku moja niliweka 70,000/= kwenye wallet,,,baada siku kadhaa nikakuta Kuna 55,000,,,,,nakumuuliza mke wangu kuhusu Hela,akawa amekataa,baadae akakubali. ,baada ya kumbana,,,na akairudisha.,,,na ameniambia alishawahi kutoa mara nyingine.
Sasa ndugu zangu nishaurini...Kuhusu huyu mke...na
Mwambie kazi yako ili ajue , sio kumdanganya kumbe unapokea laki moja kwa mwezi mwambie ukweli kazi yako.Mngekuwa mnajua majukumu tuliyonayo wanaume msingekuwa mnatamani kuiba hata shilingi 100.
Kuolewa ni zaidi ya ajira
Tatizo watu wanadhani yale maneno ya mwili mmoja ni kweli inakua mwili mmoja physically kumbe sivyo, kila mtu aishi kwa timing.Mke sio ndugu yako, mmekutana tu ukubwani. Uishi naye kwa machale.
mpe mkeo monthly poket money kwa shart 1 la kutokudokoa hela zako za mfukoni au mfungulie biashara.Habari zenu ndugu zangu....,
Nina mke ambaye naishi nae mwaka wa 3, tuna mtoto mmoja wa kike,sasa Kuna Changamoto nimekutana nayo,,,,
Nina tabia ya kuacha pesa kwenye Wallet,,,sasa nikawa nahisi kama Hela inapungua,,,ila nikawa Sina uhakika,,,ila nikiamua kuwa makini niwe na uhakika kama pesa yangu inatolewa,,,
Siku moja niliweka 70,000/= kwenye wallet,,,baada siku kadhaa nikakuta Kuna 55,000,,,,,nakumuuliza mke wangu kuhusu Hela,akawa amekataa,baadae akakubali. ,baada ya kumbana,,,na akairudisha.,,,na ameniambia alishawahi kutoa mara nyingine.
Sasa ndugu zangu nishaurini...Kuhusu huyu mke...na
Mwambie tu awe free kuchukua hivyo vitita ila awe anatoa taarifa mapema.Habari zenu ndugu zangu....,
Nina mke ambaye naishi nae mwaka wa 3, tuna mtoto mmoja wa kike,sasa Kuna Changamoto nimekutana nayo,,,,
Nina tabia ya kuacha pesa kwenye Wallet,,,sasa nikawa nahisi kama Hela inapungua,,,ila nikawa Sina uhakika,,,ila nikiamua kuwa makini niwe na uhakika kama pesa yangu inatolewa,,,
Siku moja niliweka 70,000/= kwenye wallet,,,baada siku kadhaa nikakuta Kuna 55,000,,,,,nakumuuliza mke wangu kuhusu Hela,akawa amekataa,baadae akakubali. ,baada ya kumbana,,,na akairudisha.,,,na ameniambia alishawahi kutoa mara nyingine.
Sasa ndugu zangu nishaurini...Kuhusu huyu mke...na
Mpe hela ya kutosha au mpe account awe ana control yeye, ataacha. Hawezi iba. Akijiibia ikiisha unabaki kumwangalia awe na options atakuwa na akiliHabari zenu ndugu zangu....,
Nina mke ambaye naishi nae mwaka wa 3, tuna mtoto mmoja wa kike,sasa Kuna Changamoto nimekutana nayo,,,,
Nina tabia ya kuacha pesa kwenye Wallet,,,sasa nikawa nahisi kama Hela inapungua,,,ila nikawa Sina uhakika,,,ila nikiamua kuwa makini niwe na uhakika kama pesa yangu inatolewa,,,
Siku moja niliweka 70,000/= kwenye wallet,,,baada siku kadhaa nikakuta Kuna 55,000,,,,,nakumuuliza mke wangu kuhusu Hela,akawa amekataa,baadae akakubali. ,baada ya kumbana,,,na akairudisha.,,,na ameniambia alishawahi kutoa mara nyingine.
Sasa ndugu zangu nishaurini...Kuhusu huyu mke...na
Swali la kwanza (uwe muwazi deep down unamtizia mahitaji yake Angalau Kwa 70% ?)Habari zenu ndugu zangu....,