Pole, kama huwezi kumwambia mtafutie kazi ashike pesa zakeHabari zenu ndugu zangu....,
Nina mke ambaye naishi nae mwaka wa 3, tuna mtoto mmoja wa kike,sasa Kuna Changamoto nimekutana nayo,,,,
Nina tabia ya kuacha pesa kwenye Wallet,,,sasa nikawa nahisi kama Hela inapungua,,,ila nikawa Sina uhakika,,,ila nikiamua kuwa makini niwe na uhakika kama pesa yangu inatolewa,,,
Siku moja niliweka 70,000/= kwenye wallet,,,baada siku kadhaa nikakuta Kuna 55,000,,,,,nakumuuliza mke wangu kuhusu Hela,akawa amekataa,baadae akakubali. ,baada ya kumbana,,,na akairudisha.,,,na ameniambia alishawahi kutoa mara nyingine.
Sasa ndugu zangu nishaurini...Kuhusu huyu mke...na
Siri za mkeo sio za kuleta hapaHabari zenu ndugu zangu....,
Nina mke ambaye naishi nae mwaka wa 3, tuna mtoto mmoja wa kike,sasa Kuna Changamoto nimekutana nayo,,,,
Nina tabia ya kuacha pesa kwenye Wallet,,,sasa nikawa nahisi kama Hela inapungua,,,ila nikawa Sina uhakika,,,ila nikiamua kuwa makini niwe na uhakika kama pesa yangu inatolewa,,,
Siku moja niliweka 70,000/= kwenye wallet,,,baada siku kadhaa nikakuta Kuna 55,000,,,,,nakumuuliza mke wangu kuhusu Hela,akawa amekataa,baadae akakubali. ,baada ya kumbana,,,na akairudisha.,,,na ameniambia alishawahi kutoa mara nyingine.
Sasa ndugu zangu nishaurini...Kuhusu huyu mke...na
Huwezi kushirikishwa mambo yote.Wewe kaa kwa utulivu tu.Hivyo vikoba anavyofanya,,bila mume kushirikishwa,,,hujui hapo kwa hamna upendo wowote,,,ndo maana anafanya mambo bila kushirikiana na mume?
Tulia ndugu.Ndoa siyo picnic.Kuishi na mtu uliyemkuta ana magego mengi yaliyokomaa si mchezo.Wee
Mbona mimi namshikirisha,,,kila kitu kama mke wangu?
Kiufupi tu mkeo ni mwizi. Tabia ya wizi haikubali popote pale. Kwanini asiombe kama anashida na hela?Kabisa ,,,wallet yangu itakuwa empty siku zote
Ukiwa unampa pesa hawezi kudokoa, na ukiwa unamuonyesha hizi pesa kazi yake hii hawezi dokoa, sasa unaacha buku 2 halafu wallet Ina 70,000/Habari zenu ndugu zangu....,
Nina mke ambaye naishi nae mwaka wa 3, tuna mtoto mmoja wa kike,sasa Kuna Changamoto nimekutana nayo,,,,
Nina tabia ya kuacha pesa kwenye Wallet,,,sasa nikawa nahisi kama Hela inapungua,,,ila nikawa Sina uhakika,,,ila nikiamua kuwa makini niwe na uhakika kama pesa yangu inatolewa,,,
Siku moja niliweka 70,000/= kwenye wallet,,,baada siku kadhaa nikakuta Kuna 55,000,,,,,nakumuuliza mke wangu kuhusu Hela,akawa amekataa,baadae akakubali. ,baada ya kumbana,,,na akairudisha.,,,na ameniambia alishawahi kutoa mara nyingine.
Sasa ndugu zangu nishaurini...Kuhusu huyu mke...na
Habari zenu ndugu zangu....,

Mwizi were kwahiyo elf 15 anaenda kujenga kwao angekuwa anampa angedokoa nini sasa! Wanawake tuna vitu vingi vyakununuaKiufupi tu mkeo ni mwizi. Tabia ya wizi haikubali popote pale. Kwanini asiombe kama anashida na hela?
Kuwa makini
Shida ya nyinyi wanawake huchukulia maisha ni rahisi mno.Si mkeo? Wanaume wengine wagumu kutoa pesa mpaka uwaibie.
Anza kumpa pesa atunze mbona Jambo jepesi Tu unarudi na lki unampa mke wangu nitunzie hiyoHabari zenu ndugu zangu....,