Mke wangu ana ujauzito wa mwezi mmoja tuu lakini nanyooka

😀😀😀😀na bado utanyoooka haswaaaa. Mpaka miezi9 ifike hakuna rangi utaacha ona
Ha ha ha ha lazma aombe sub contractor tu hii mambo acheni tu unatolewa mswaki mwaka mzima maana huwezi kula mbunye baada ya mtoto wa kike kushusha engine.
 

Anakulengesha, komaa na usimzingatie sana
 
Umeonaee! Na saa ingine waeza dhania anaijifanyisha kumbe walaa.

Hivi vitu ni vya kupita tu hivyo ambavyo mwishowe huwa na furaha ya ajabu. Nadhani huyo Mkuu avumilie tu miezi tisa si mingi.
Mkiyapata mabwege huwa mnafurahi sana naona 😂.

Yaani Mimi kabisa unifanyie huo ujinga!!! Eti anatamani kuku zinazouzwa mbali na nyumbani daah jinga kabisaa atafata mwenyewe !!!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Huo ni utangulizi tu mkuu, makubwa yapo mbioni.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nilikuwa naambiwa nanuka sana, naamrishwa kuoga.

Hadi akawa analala tumepishana kisa anadai nanuka[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…