Mke wangu ana ujauzito wa mwezi mmoja tuu lakini nanyooka

Mabadiliko ni lazima kwa miezi ya mwanzo na kutapika hawez kujitapisha huja automatic ila ilo la kutokufagia naona ni jipya aisee sema mimba zinazokuwa na baba wapo karibu zinasumbua [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mkiyapata mabwege huwa mnafurahi sana naona 😂.

Yaani Mimi kabisa unifanyie huo ujinga!!! Eti anatamani kuku zinazouzwa mbali na nyumbani daah jinga kabisaa atafata mwenyewe !!!
😅😅😅😅😅😅😅 hiko kipengele nilispend life kwa baba na mama huku bibie akipambana na mashetani yake ya mimba!

Namchungulia after 3 days kisha nasepa dada ake ndio alikuwa bega kwa bega naye!
 
[emoji23][emoji23][emoji23]dah
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] hiko kipengele nilispend life kwa baba na mama huku bibie akipambana na mashetani yake ya mimba!

Namchungulia after 3 days kisha nasepa dada ake ndio alikuwa bega kwa bega naye!
Muwadekeze wake zenu ili wasitumie mimba vibaya, ila kwa comments hizi inaonekana ndoa nyingi ni darfur[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ndugu yangu Vumilia tu[emoji23][emoji23][emoji23] Ila Kama vipi mpeleke Kwao Au Kwenu akailee hiyo Miezi mitatu ya Mwanzo
 
Sasa hizo kazi anafanya job ataenda sangapi, usiniambie habari za HG maana kama hataki pia kutoa mzigo anatengeneza bom jingine
Jamani kwani mbona huwa tunazifanya na kazini tunaenda?
Kutoa mzigo pia huwa inategemea na ukaribu wenu kwa kiasi kikubwa. Ukiona unafanyiwa visa sana wakati wa mimba basi ujue huo ndio muda wake wa kukunyoosha kwa pale unapomnyooshaga[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Huoni mimba zisizo na wa kuwadekea huwa zina adabu!! Tudekezeni tu miezi tisa si mingi jamani, afterall ni watoto wenu tunabeba.
 

Ukimuendekeza kiasi cha kumfanya yai ndo ujue game over.

Hapo mwanamke anatafuta gia ya kukupanda kichwani sasa ole wako ukubali huo ujinga. Kwani yeye ndo wakwanza kuwa mjamzito?

Itakula kwako usipoangalia.
 
Nina mke na watoto2 na wanasoma shule nzuri tu wakiwa kwangu na mama yao hakuwa na huo ujinga
Basi utakuwa ni kawaida yako kumdekeza hivyo hakuna jipya, visirani navyo huwa vinaangalia ujue[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hii aya ya pili ndio inafaa kufuatwa na kila mjamzito.
Mwingine hadi anadai hapendi harufu mumewe, shenztype ataenda kwao hadi ajifungue, au nitafute mchepuko na kurudi night kali nalala rum yangu mwenyewe, sijuagi kuendekeza.ujinga kabisa aisee
 
Hii aya ya pili ndio inafaa kufuatwa na kila mjamzito.
Mwingine hadi anadai hapendi harufu mumewe, shenztype ataenda kwao hadi ajifungue, au nitafute mchepuko na kurudi night kali nalala rum yangu mwenyewe, sijuagi kuendekeza.ujinga kabisa aisee
Ni hormones tu hizo jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Jiandae baada ya muda unaambiwa imetoka! Naijua hiyoo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…