holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 1,859
- 2,986
Wakuu
Wiki iliyopita nilienda kupima ngoma a.k.a umeme mimi pamoja na mke wangu,cha kushangaza mke wangu akagundulika na maambukizi mimi sina.
mke wangu akaanzishiwa ARV mala moja,kisha tukarudi home, ila kuanzia siku hiyo naogopa kufanya nae tendo la ndoa kwani naamini ataniambukiza pia.
nifanye nini ili niendelee kuishi na mke wangu,tumejaaliwa kupata watoto7.
nimechanganyikiwa.