Mke Wangu Ana UKIMWI Mimi Sina, Je Nifanye Nini?

Wakuu
Wiki iliyopita nilienda kupima ngoma a.k.a umeme mimi pamoja na mke wangu,cha kushangaza mke wangu akagundulika na maambukizi mimi sina.

mke wangu akaanzishiwa ARV mala moja,kisha tukarudi home, ila kuanzia siku hiyo naogopa kufanya nae tendo la ndoa kwani naamini ataniambukiza pia.

nifanye nini ili niendelee kuishi na mke wangu,tumejaaliwa kupata watoto7.

nimechanganyikiwa.
Inaweza kuwa wewe ulimuambukiza au alipata maambukiz kutoka kwa mtu mwingine
 
Huna kazi ya kufanya mpaka uandike upupu usio na kichwa wala miguu. Tafuta kazi ya kufanya.
nipo kazini ila sina kazi ya kufanya. Kazi yangu inaniruhusu nikae ofsini kuanzia saa 2 hadi saa 0 na ni kusaini nyaraka za hapa na pale nyaraka za wakuu wa idara maalumu. So muda wangu mwingi huwa nautumia fb,insta,tiktok,X, whatsup na sanasana jf
 
Wakuu
Wiki iliyopita nilienda kupima ngoma a.k.a umeme mimi pamoja na mke wangu,cha kushangaza mke wangu akagundulika na maambukizi mimi sina.

mke wangu akaanzishiwa ARV mala moja,kisha tukarudi home, ila kuanzia siku hiyo naogopa kufanya nae tendo la ndoa kwani naamini ataniambukiza pia.

nifanye nini ili niendelee kuishi na mke wangu,tumejaaliwa kupata watoto7.

nimechanganyikiwa.
Acha upumbavu katika maisha sasa na hivyo ni vitu vya kuuliza??Mungu anakupenda unaendelea kumdhiaki! Basi endelea kutembelea rimu kwa mkeo upewe shahada!
 
Wakuu
Wiki iliyopita nilienda kupima ngoma a.k.a umeme mimi pamoja na mke wangu,cha kushangaza mke wangu akagundulika na maambukizi mimi sina.

mke wangu akaanzishiwa ARV mala moja,kisha tukarudi home, ila kuanzia siku hiyo naogopa kufanya nae tendo la ndoa kwani naamini ataniambukiza pia.

nifanye nini ili niendelee kuishi na mke wangu,tumejaaliwa kupata watoto7.

nimechanganyikiwa.
Wewe unaweza kuishi kwenye nyumba inayowaka moto mkuu?
 
1000025965.jpg
 
Back
Top Bottom