Mke Wangu Ana UKIMWI Mimi Sina, Je Nifanye Nini?

Mke Wangu Ana UKIMWI Mimi Sina, Je Nifanye Nini?

Juzi kakunyima unyumba miaka Leo ukimwi ndoa ina miaka 7 unawatoto saba
rudi shule ukajifunze somo la kiswahili mada ya kusoma kwa ufahamu mkuu. Kama unaifahamu hiyo mada basi rudia kusoma uzi wangu naimani hutachanganya matukio na mikasa niliyowahi kuisimulia humu.
 
Holoholo bhana una mizengwe hupoi mkuu huboi kesho utasema mkewangu kanibaka nifanyeje
Jamaa anao wanawake wengi na kila mmoja ana visa vya ajabu ajabu. Sukari ikizidi kwenye Chai huaribu radha yake na kugeuka kuwa shurubati.
 
Jamaa anao wanawake wengi na kila mmoja ana visa vya ajabu ajabu. Sukari ikizidi kwenye Chai huaribu radha yake na kugeuka kuwa shurubati.
hali hii inamtokea yeyote wakati wowote, kama ni chai,waache wenzako watoe ushauri kwa ambao wana hali hii.
 
Upeleke hii kesi yako kwenye kamati ya masaa 72 waidiscus utapata majibu fastaa
 
Wakuu
Wiki iliyopita nilienda kupima ngoma a.k.a umeme mimi pamoja na mke wangu,cha kushangaza mke wangu akagundulika na maambukizi mimi sina.

mke wangu akaanzishiwa ARV mala moja,kisha tukarudi home, ila kuanzia siku hiyo naogopa kufanya nae tendo la ndoa kwani naamini ataniambukiza pia.

nifanye nini ili niendelee kuishi na mke wangu,tumejaaliwa kupata watoto7.

nimechanganyikiwa.
Cc Binti Sayuni03
 
Umekuja kutudanganya humu kwahyo mkeo alipata maambukiz kabla ya kumuoa?

Kama si ivyo alipata maambukiz katika mazingra gani?

Kama si ivyo basi mkeo ni mke wa watu
 
Piga mkia ww, ukimwi unakaa kwenye damu sio kwenye mbususu [emoji23] (utani)

Ila wakuu tueni serious kwa waliopitia hii situation watuambie hali hii waliikabili vp. Tupeni uzoefu tujifunze na sie kdogo.
 
Wakuu
Wiki iliyopita nilienda kupima ngoma a.k.a umeme mimi pamoja na mke wangu,cha kushangaza mke wangu akagundulika na maambukizi mimi sina.

mke wangu akaanzishiwa ARV mala moja,kisha tukarudi home, ila kuanzia siku hiyo naogopa kufanya nae tendo la ndoa kwani naamini ataniambukiza pia.

nifanye nini ili niendelee kuishi na mke wangu,tumejaaliwa kupata watoto7.

nimechanganyikiwa.
mle Yass
 
Ndo maana alikuwa anakunyima unyumba...

She knew...

View attachment 3268906
Kumbe mwamba ndo huyu?? Fukuza huyo changudoa.Piga chini na kafile for divorce haraka sana,linakunyima mbususu kumbe linagawa kwa kila rika hadi limepata ukimwi.Narudia fukuza haraka sana na kafungue madai ya Taraka.Usije kulichoma kwa mkaa kama Hamis wa Toangoma
 
NIpo hapa nafikiria kuchemsha chai nyingine,hii naona imepoa
 
Back
Top Bottom