Hii jitahd kuwasiliana na ocean road wanaweza kukupa taarifa zenye msaada sana.Tafuta hata namba zao online uwapigieWakuu,breast cancer stage 2 inaweza kutibiwa hospitali na ikapona kabisa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii jitahd kuwasiliana na ocean road wanaweza kukupa taarifa zenye msaada sana.Tafuta hata namba zao online uwapigieWakuu,breast cancer stage 2 inaweza kutibiwa hospitali na ikapona kabisa?
Sawa kiongozi.Mkuu nenda hospitali acha hz mambo za mitishamba,nakwambia hv kwa sababu kuna dada namjua alishauriwa aende kwa ajili ya kuondoa uvimbe akahamia kwenye mitishamba,kurudi hospitali wakamwambia chance ya kumsaidia tena haipo sababu mirija ilishaziba completely-Ni huzuni asikwambie mtu.Ikibd fika kairui tafuta ma super specialist pale
Je lake zone ni wapi wapo vizuri?Hospitali nzuri za haya mambo ya uzazi ni Kairuki Hospital, Jitahd sana uende mapema otherwise kadri unavyochelewa ndo tatizo linazid kuwa kubwa na pengine kupelekea kutopata mtoto kabisa.Jitahd uwezavyo ufanye mapema sana
TIBA IPO Mkuu.PACHA WANGU ALIPONEA HII NA ALIKUWA NA 67.9 mm.Wataalam habari za asubuhi?
Naomba msaada wa elimu katika hili.
Baada ya kuishi na mke kwa muda kwa mwaka mmoja na miezi saba bila kupata hata dalili yoyote ya mimba, nikaamua kwenda hospital moja yenye huduma bora na za uhakika ili kupata majibu ya uhakika juu ya tatizo linalosumbua.
Vipimo vyangu vilionesha hakuna shida yoyote, lakini kwa upande wa wife tukaambiwa ana Rt. Ovarian Complex Cyst, Hemorrhagic Cyst (55.4×49.2mm).
Tukaambiwa tiba yake ni oparesheni kubwa kuondoa uvimbe huo. Tulibaha hadi kushindwa kuuliza maswali ya msingi tukaaga kwamba tukajipange kwanza tutarudi kwa operation hiyo.
Hapa nilipo kichwa hakipo sawa kabisa.
Je, operation ya namna hiyo huwa kizazi kinabaki au kinaondoshwa kabisa?
Hata kizazi kikibaki kwa hali hiyo anaweza kupata mimba/kuzaa?
Tatizo hilo haliwezi kujirudia tena?
Side effects za operation ya namna hiyo ni zipi?
Hakuna tiba mbadala?
Naombeni elimu mujarabu.
TIBA IPO CHEMSHA MCHAICHAI NA MAJANI YA MDALASINI KUNYWA KIKOMBE KIMOJA ASUBUHI KABLA HUJALA KITU NA KIKOMBE KIMOJA JIONI SAA 1 KABLA HUJALA MLO WA JIONI TUMIA JWA SIKU 14 KISHA KAPIME ULTRASOUND KATKA HOSOITALI 2 TOFAUTI UJUE MAENDELEO YA HIYO KITU
Huyu Dr.Mashavu namjua amewahi kumhudumia sister angu.ni kweli ni Dr.Mzuri sana sanaKuna Dk mmoja anaitwa Dk Mashavu: ana hospitali yake Mwalusembe (Wilaya ya Mukuranga) na ana'attend' pia hospitali ya Sabrina iko Mbagala karibu na Shule ya Sekondari ya St Anthony (upande wa pili wa barabara), Kings Hospital, Kariakoo, na hospitali nyingine iko Ilala kabla ya Soko la Karume kama unatokea Buguruni (upande wako wa kulia) na baada ya Bungoni - iko chini ya ama Shirika la Dini ya Kiislamu au owner ni Muislamu.
Huyu Dk, kwa maoni yangu, ni mzuri sana kwa upande wa magonjwa ya wanawake na anamsikiliza mgonjwa vizuri sana (hana complications).
Sina uelewa ndugu yangu kwa upande wa lake zoneJe lake zone ni wapi wapo vizuri?
Mkuu majani ya mdalasini Ni greenish, mchachai kadhalika yanakuwa na ufanisi .Mimi niliyapata kea kuagiza Moshikwa magome mkuu Sina hakika japo nayo hutumika kutibu masundosundoMajani ya mdalasini yanapatikana wapi?
Je magome ya mdalasini hayafai?
Mdalasini unapatikana kwa urahisi kwa njia ya magome au unga wa magome.
Asante mkuu.TIBA IPO Mkuu.PACHA WANGU ALIPONEA HII NA ALIKUWA NA 67.9 mm.
FANYA HIVI CHEMSHA MCHAICHAI NA MAJANI YA MDALASINI KUNYWA KIKOMBE KIMOJA ASUBUHI KABLA HUJALA KITU NA KIKOMBE KIMOJA JIONI SAA 1 KABLA HUJALA MLO WA JIONI TUMIA KWA SIKU 14 KISHA KAPIME ULTRASOUND KATKA HOSPITALI 2 TOFAUTI UJUE MAENDELEO YA HIYO KITU
Sina hakika Mkuu.ikishindikana kuyapata gharamika kidogo nikuandalie nikutumieAsante mkuu.
Kwa kanda ya ziwa majani ya mdalasini yanaweza kupatikana?
Mkuu Ni majani Pacha alipona kwa njia ya kuchemsha mchaichai na majani ya mdalasini na wengi waluokuwa na tatizo hilo wametumia na kuondokana nalo.Majani ya mdalasini yanapatikana wapi?
Je magome ya mdalasini hayafai?
Mdalasini unapatikana kwa urahisi kwa njia ya magome au unga wa magome.
Mkuu inaweza pia IPO mbadala nitafute nikupe akiba ya tiba lishe itakuokoa na usumbufu wa hiyo kituWakuu,breast cancer stage 2 inaweza kutibiwa hospitali na ikapona kabisa?
Hivi gharama za tiba kama hizi mtu anatakiwa kujipanga kwa pesa kiasi gani hapo kairukiHospitali nzuri za haya mambo ya uzazi ni Kairuki Hospital, Jitahd sana uende mapema otherwise kadri unavyochelewa ndo tatizo linazid kuwa kubwa na pengine kupelekea kutopata mtoto kabisa.Jitahd uwezavyo ufanye mapema sana
DCMC DODOMA NI LAK 5 NA WAPO VIZURI SANA.Hivi gharama za tiba kama hizi mtu anatakiwa kujipanga kwa pesa kiasi gani hapo kairuki
Twashukuru sanaBoss, pole sana, hiyo ishu iliwapata ndugu zangu kadhaa wa karibu sana, kuna mtu alinisaidia ikapona kwao kabisa na leo hii nina wajomba, tiba yake ni ya kienyeji lakini inahusisha dawa za mizizi nitakutumia, kwa miezi kadhaa anakuwa sawa kabisa, nipe namba yako nikupigie nikuelezee. Pole sana, ninajua unachopitia. Msifanye kwanza upasuaji.
Yaan nikisikia hivi mnazidi kunipagawishaKuna dawa za mitishamba zinaondoa vizuri bila upasuaji.
Sema kuipata inahitajika neema ya Mungu!