mzeewakungoa
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,969
- 13,919
Mimi nina ushauri tofauti kidogo
1.Jiridhishe kwa njia mbali mbali mpaka upate uhakika kwamba kitumbuwa hakijaliwa? Kama kimeliwa there is no way back lkn kama hakijaliwa njoo no 2
2.Unaonekana hutengi muda wa kutosha kukaa na mkeo. Ongeza muda wa kukaa na mkeo.
3.Be friendly kwa mkeo ili mkeo akutumie wewe kama mtu wa kubadilishana nae mawazo kinyume chake atatafuta mtu huyo nje.
4.Wanawake wanapenda sexy chats .....chat na ishi na mkeo kama girlfriend wako. Zungumza nae maneno ya kimapenzi kama mtu anavoongea na girlfriend wake.. Utamaliza hamu yake katika wigo huo.
5.Mnunulie zawadi mkeo mara kwa mara.. Itaongeza mapenzi kwako kutoka kwa mkeo.
6.Ukiwa kazini mpigiye simu kujua anaendeleaje.
Ukifanya hivyo nadhani utamdhibiti vizuri mkeo.... Lakini kutoa talaka kirahisi ndugu yangu utaacha sana.