Mke wangu anachat na li mtu wanaitana "MY"

Mke wangu anachat na li mtu wanaitana "MY"

Aisee huwa naichunia simu ya mke wangu kwa kuogopa bp na pia namuamini maana ana kautulivu kimuonekano na maisha tulioishi hajawahi kuniletea mazombie mpaka yanitishe na kuhisi sio mwaminifu sasa leo week end nipo kitandani nimeshika simu yake aisee kucheki video za whatsapp nikajikuta nimeingia inbox yake Kuna li mtu anachat nalo linaonesha linamcare huku linamuita "My" na yeye anajibu na neno "My".HAPA NILIPO NIMESHAPANIC JAPOKUWA WANASALIMIANA TU NA KUTAKIANA CHAKULA CHEMA ILA KIMENISHANGAZA HICHO KIBWAGIZO CHAO CHA KUITANA "MY" Nataka niuwashe moto maana sijaelewa kabisa hiyo term "My".
Naogopa kuianzisha hii vita kabla sijajua wenzangu hii issue mnaichukuliaje maana nisije itwa Complicator wa term kumbe ni term ya kawaida tu.
NATAKA USHAURI SIO MATUSI.
Linajamaa limevuka mipaka aisee litakuwa Linamla........
 
Tunaishi Mara moja hapa duniani, angalia usije ukafanya mauaji.....MY..sio neno zuri la kuitana. Pana kaushirika fulani hapo
 
Mkanye mkeo kuwa hujafurahishwa na hicho anachokifanya na ajue kuwa unafuatilia mienendo yake,endelea kuweka na kuisimamia misimamo yako.
 
Endelea kusubiri watu wale kilain mzigo wako
 
Kwa mantiki ya Chats zao, MY humaanisha WANGU.

Ni neno la kawaida sana kutumika baina ya jinsia ke. Lakini pia linaweza kutumika baina ya jinsia ke na me.
Sasa kuitana huko sijajua wana lengo gani. Ila kwa experience yangu, ke na me wakiashaanza kuitana "my" basi uwezekano wa kukutanisha vikojoleo ni mkubwa.

Cha msingi, we muambie tu aache tabia hiyo. Kama umekuta salamu na wishes za mlo mwema, basi hiyo my yao haijawa Chronic bado. Ipo katika hatua za awali.
USIPAMBE LUGHA WEWE
kwa mfano ATI KASTAAFISHWA
kumbe KAFUKUZWA
USIMPE MWENZIO MATUMAINI WALA MATUFIGO.
VP WW MKEO AITWE MY?????
UNAJUA MAANA YAKE AU??UTAJIHISI VP MKEO AKIITWA HIVO
 
Back
Top Bottom