Mke wangu anachat na li mtu wanaitana "MY"

Hakuna urafiki kati ya mwanamke na mwanaume nakushauri mwambie aache kabisa mawasiliano na huyo mwanaume kabisa.
 

UANAUME KAZI SANA, WATU WENGINE WALIPASWA WAZALIWE WANAWAKE, HATA HILI LINAKUSHINDA KULISHUGHULIKIA MWENYEWE? MPAKA UJE USHAURIWE? SERIOUSLY? IANZISHE KABLA HAJALIWA (KAMA ATAKUWA AJALIWA BASI)
 
Hahaaha kwamba haija mature bado into a secret admirer!
 
Hahahhaha
Mkuu chakufanya usipanik
Competition muhimu kwenye mchakato huu
We pokea mpinzani ila uzur mech unashinda wew
Mke ni wako uwanja wako refa wewe etc
Kizur kwamba wapo stage ya awali na ukianzisha moto na mkeo jua unamfungulia njia zaidi my awe mylove
Mana utajenga zuio na mkeo afu atazidisha moto kwa uyo boya
Cha msing assume kama umefanya inside trading una info zote nawewe zidisha kumjulia hali mkeo mchana unamtembelea upatapo nafasi japo na ka daily milk anapata choclate mara kesho tuua..yan my zako zakumjulia hali ziwe zimezid ujuzi kuliko za huyo muwindaji
Utakuta tu anaaza kupotezea uyo shetani atatafuta wengine wakuwaingilia na vi my vyake

yani ndoa zina windwa sana na shetani mkuu uwe makini sana
 
pole sana my
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
 
Kwa ushauri ili kuepuka ugomvi amabao lazima ajitetee kuwa neno my hajamaanisha ubaya, unachotakiwa kufanya ni kuchukua muda wala usikimbikie kuuliza hautapata jibu ambalo wewe umeliwaza tayari kichwani. Fanya uchunguzi wa kina kwanza upate ukweli wa content ya mawasiliano yao. Hapa unatakiwa uwe smart. Ukiupata ukweli proof beyond doubt ndio waweza kuuliza huku una evidence za kutosha.
 
Vipi ulishapima afya yako na ya Bite?
Bite ni mzima aisee na mimi ni mzima nilichogundua kuwa si kila anaevumishwa kuwa ana ngoma ni kweli.Pia kuchepuka ni ujinga
 
Kuna scenario kama hii ilinipata demu anaitana na msela/wasela MY na mambo kedekede nilipiga chini the very same day!!
Wewe kama ni mchumba/mke wa mtu kwanini uwe na kuitana majina ya kunyegeshana alafu sana mijamaa huko haijali mzigo ukiletwa unapigwa kama kawa!!
Mazoea ya kijinga kama hayo sitaki kabisa Mke/mchumba wa tu.
Hapo hesabia ndani ya mwezi kama hajaliwa huyo wife wako sijui...!! Unajua kabisa wewe ni mke/mchumba wa mtu unaleta mazoea ya kijinga nikikushika sijui uongee lugha gani kunishawishi..otherwise mimi nikipanic haijalishi tuna mtoto/watoto au sijui tuna 4 yrs ya uhusiano. Mimi ni moja ya watu wasiofikiria mara mbilimbili Nikutimua tu.
 
Mbona humalizii na huwa mnawambato mkuu!
Huwezi niambia mwanamke aende project kikazi mbali na mume kwa miezi 6 mfululizo yuko camp mazingira ya vishawishi halafu asikazwe ikiwa ana entertain huo umandazi!
 
Hayo ndio yanaitwaga maamuzi magumu!
 
Kama ni umejiridhisha kama ni mwanaume anamuita mkeo MY braza. Jipange utato*bewa soon, mwaka hauishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…