Pakawa
JF-Expert Member
- Mar 11, 2009
- 7,973
- 13,647
Mkuu huoni kama BP itakuwa imepanda zaidi maana mtoa mada alikuwa anajaribu kukwepa hili! NimechekaaaMY means Mali Yangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu huoni kama BP itakuwa imepanda zaidi maana mtoa mada alikuwa anajaribu kukwepa hili! NimechekaaaMY means Mali Yangu
Aisee! Huwa naichunia simu ya mke wangu kwa kuogopa BP na pia namuamini maana ana kautulivu kimuonekano na maisha tulioishi hajawahi kuniletea mazombie mpaka yanitishe na kuhisi sio mwaminifu.
Sasa leo weekend nipo kitandani nimeshika simu yake aisee! Kucheki video za whatsapp nikajikuta nimeingia inbox yake kuna li mtu anachat nalo linaonesha linamcare huku linamuita "My" na yeye anajibu na neno "My".
Hapa nilipo nimeshapanic japokuwa wanasalimiana tu na kutakiana chakula chema ila kimenishangaza hicho kibwagizo chao cha kuitana "My" nataka niuwashe moto maana sijaelewa kabisa hiyo term "My".
Naogopa kuianzisha hii vita kabla sijajua wenzangu hii issue mnaichukuliaje maana nisije itwa Complicator wa term kumbe ni term ya kawaida tu.
NATAKA USHAURI SIO MATUSI.
Hahaaha kwamba haija mature bado into a secret admirer!Kwa mantiki ya Chats zao, MY humaanisha WANGU.
Ni neno la kawaida sana kutumika baina ya jinsia ke. Lakini pia linaweza kutumika baina ya jinsia ke na me.
Sasa kuitana huko sijajua wana lengo gani. Ila kwa experience yangu, ke na me wakiashaanza kuitana "my" basi uwezekano wa kukutanisha vikojoleo ni mkubwa.
Cha msingi, we muambie tu aache tabia hiyo. Kama umekuta salamu na wishes za mlo mwema, basi hiyo my yao haijawa Chronic bado. Ipo katika hatua za awali.
Nalo hili jemaTuliyazungumza yakaisha nilimpiga ban asiwasiliane na hilo li karume kenge lake
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]pole sana my
Hahahaa Dili Hilo bro MshanaTuma ya vifaa niangalie kwenye ramli (chonganishi)
Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
Mi nimeumia we furahi tu
Pole mkuu, wewe share tu whatsapp ya mke wako kwenye laptop yako, mrudishie simu yake umemaliza mchezo
Mbona humalizii na huwa mnawambato mkuu!Umeuza hisa brother!! Ukute hata lunch anatolewa...maana makazini wake za watu wanapata vishawishi sana hasa akiwa mzuri sura na umbo!!
Nilifanya kazi sehemu huko Mby, aisee wanaume sie tunawatia majaribuni sana Wanawake.... Lunch, lift, utani, mizaha, mitoko nk yani waume zao wangekuwa wanajua..dah sijui wangeamuaje!!
Hayo ndio yanaitwaga maamuzi magumu!Kuna scenario kama hii ilinipata demu anaitana na msela/wasela MY na mambo kedekede nilipiga chini the very same day!!
Wewe kama ni mchumba/mke wa mtu kwanini uwe na kuitana majina ya kunyegeshana alafu sana mijamaa huko haijali mzigo ukiletwa unapigwa kama kawa!!
Mazoea ya kijinga kama hayo sitaki kabisa Mke/mchumba wa tu.
Hapo hesabia ndani ya mwezi kama hajaliwa huyo wife wako sijui...!! Unajua kabisa wewe ni mke/mchumba wa mtu unaleta mazoea ya kijinga nikikushika sijui uongee lugha gani kunishawishi..otherwise mimi nikipanic haijalishi tuna mtoto/watoto au sijui tuna 4 yrs ya uhusiano. Mimi ni moja ya watu wasiofikiria mara mbilimbili Nikutimua tu.