Mke wangu anachat na li mtu wanaitana "MY"

Kikubwa ni kujua nia,dhumun na lengo la kuitana hivo ni nn.maana my ni mtu wa karibu,rafiki wa kike au kiume na mara nyingi wapenz hufupisha kuita my badala ya my love.

[emoji117]Tumia busara kutafuta suluhu ya kitu na usipanic utakosa kujua vingi sana.na ww u mkubwa akikudanganya utajua lkn kuwa taratibu. Muulize nn kusudio lake kwa huyo na mbona nae anajibu lengo lao ni nn?
 
Yani wewe ni mvumilivu kwelikweli yani muke yako iitwe MY na mume ingine alafu wewe, unakuja kuanzisha thread humu huo muda unatoa wapi? Hio mambo ungemaliza hapo hapo yeye ndie angekupa tafsiri ya ilo neno, wakati unaendelea kusoma comment uku MY wenzako huko washaanza kuitana MY LoVe.
 
Kama bado hawajagusanisha vikojoleo basi ndio wanapoelekea manaake ndio tinga tinga linachonga barabara hivyo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] my _____
 
Nimeogopa nisije nikawa nimelielewa vibaya neno kumbe hata kwenye ndoa za wenzangu yanatokea mimi nikaonekana kama nina ma wivu ya miaka 47
 
Mkuu dem huwa kama nimemtongoza then akiniita kwa sms My huwa tayari kanikubli kinachobaki ni siku ya kula mzigo.
Ten usilaze damu mkuu mkeo ataliwa very soon.
Take action
 
Mkuu neno My maana yake rahisi ni "wangu".

Inawezekana kabisa mkeo akawa yuko kwenye mahusiano na huyo mtu au ndio anakaribia kuwa kwenye mahusiano. Kaa naye uongee naye na umwambie bila woga, lakini kumbuka kuwa kama amedhamiria "kugegedwa" na huyo jamaa, wewe huwezi ukamzuia, hata kama utakuwa mkali kama Mbogo.

Binadamu huwezi ukamchunga, hasa hasa wanawake. Akili ya mwanamke ikishaenda kwa mwanaume mwingine ni vigumu sana kuitawala.

Pole mkuu.
 
ni term ya kawaida endapo ni mademu tupu... ila linapokuja suala la jinsia tofauti inamaana anamkubali na yupo tayari kumsikiliza...!!!
 
Mkuu, copy hiyo namba, then anza kuichunguza nani mmikiki wa hiyo namba
 
Mkuu usikubali tandika bakola iyo nke yako adabu haina, itakua inaanza kugegedwa nje. Halafu jichunguze kama unaudhaif kwa bed basi ujue huyo anstaka Dushee mbadala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…