Mfitinishaji
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 571
- 600
Mkuu kua na huruma basiPole mkuu, wewe share tu whatsapp ya mke wako kwenye laptop yako, mrudishie simu yake umemaliza mchezo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kua na huruma basiPole mkuu, wewe share tu whatsapp ya mke wako kwenye laptop yako, mrudishie simu yake umemaliza mchezo
Sawa mkuuNipo mbeya na mke wangu nimeletwa kikazi.
Tusaidiane ujuzi huuPole mkuu, wewe share tu whatsapp ya mke wako kwenye laptop yako, mrudishie simu yake umemaliza mchezo
Mkuu naomba Nipe elimu namna ya ku share whatsappPole mkuu, wewe share tu whatsapp ya mke wako kwenye laptop yako, mrudishie simu yake umemaliza mchezo
[emoji120] [emoji817] [emoji115] [emoji111] nimerejea kakaUmepotea sana mkuu shikamooo.
umenifanya nicheke kwa sauti mkuuHamchelewi kuingizana kwenye JABA nyie
Hatimaye leo you came open! Now free a space for their PMs!Tuma ya vifaa niangalie kwenye ramli (chonganishi)
Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
Nimeogopa nisije nikawa nimelielewa vibaya neno kumbe hata kwenye ndoa za wenzangu yanatokea mimi nikaonekana kama nina ma wivu ya miaka 47Yani wewe ni mvumilivu kwelikweli yani muke yako iitwe MY na mume ingine alafu wewe, unakuja kuanzisha thread humu huo muda unatoa wapi? Hio mambo ungemaliza hapo hapo yeye ndie angekupa tafsiri ya ilo neno, wakati unaendelea kusoma comment uku MY wenzako huko washaanza kuitana MY LoVe.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hati
Hatimaye leo you came open! Now free a space for their PMs!
Ha ha haa!Hamchelewi kuingizana kwenye JABA nyie
Mkuu neno My maana yake rahisi ni "wangu".Aisee huwa naichunia simu ya mke wangu kwa kuogopa bp na pia namuamini maana ana kautulivu kimuonekano na maisha tulioishi hajawahi kuniletea mazombie mpaka yanitishe na kuhisi sio mwaminifu sasa leo week end nipo kitandani nimeshika simu yake aisee kucheki video za whatsapp nikajikuta nimeingia inbox yake Kuna li mtu anachat nalo linaonesha linamcare huku linamuita "My" na yeye anajibu na neno "My".HAPA NILIPO NIMESHAPANIC JAPOKUWA WANASALIMIANA TU NA KUTAKIANA CHAKULA CHEMA ILA KIMENISHANGAZA HICHO KIBWAGIZO CHAO CHA KUITANA "MY" Nataka niuwashe moto maana sijaelewa kabisa hiyo term "My".
Naogopa kuianzisha hii vita kabla sijajua wenzangu hii issue mnaichukuliaje maana nisije itwa Complicator wa term kumbe ni term ya kawaida tu.
NATAKA USHAURI SIO MATUSI.
Ndio hivo boss, kupanic haisaidiiSo jamaa nae anamiliki mke wangu au? Ujue nazidi kupanic yaani