Mke wangu anachat na li mtu wanaitana "MY"

Nilishawahi kuuliza nikaambiwa, my ni sa na kuwa mnachat mtu akakwambia
mf:
Nakuja wangu.
Nitakuja kesho wangu.
My niinunulie soda nk.
So fuatilia mwenendo kwa umakini, punguza jaziba usijeharibu
 
chkua namba hiyo I'll uthibitishe kwanza no jinsia gan nae ni ke mwenzie au me mana wanawake skuiz kuitana my in kawaida ukishajua ni me reta mrejesho nikupe namna sasa ya kudil na vibaka
 
My= Sio wako tena anamilikiwa na mwenzio,mda wako ccm ushaisha ngoja tusubiri kama msajili wa vyama atakutetea kama alivyofanya kwa lipumba.
 
Hahahaaaa mkuu yani hayo ni maandalizi ya kufanya zuia.
 
Chuma huliwa na kutu, mke wa mtu huliwa na mtu na co kutu.
Nipo nakunywa jambo embe dodo
 
POLE SANA NDUGU YANGU. DALILI YA MVUA NI MAWINGU. LABDA NI SHARE NA WEWE TECHNIC ZA KUBAINI NA KUJUA MWENENDO WA MKE WAKO KWENYE WHATSAPP, NI NJIA RAHISI ILA YAHITAJI MOYO. NENDA YOUTUBE SEARCH HOW TO HACK WHATSAPP ACCOUNT FUATA MAELEKEZO THEN TEKELEZA HALAFU UJE ULETE MREJESHO. ZAIDI YA HILI UTAGUNDUA MENGI ZAIDI. NIKUTAKIE UTEKELEZAJI MWEMA ILA NIKUPE ANGALIZO USIJARIBU KAMA UNA MOYO MWEPESI. [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
 
Yaelekea unamuogopa sana mkeo.Unachohofia kumwuliza ni nini?Utaendelea kuumia na mwishowe utajinyonga.Dont trust a woman my friend.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…