msold msward
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 595
- 202
My ni kama ujumbe tu wa poa .sawa ivyo usichanganyikiwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AiseeeWanawake wanamtindo wakuitana sana My...nadhani pia wewe ni mhuni Mkubwa sana wakupindukia sana sana ndio maana unamtilia shaka Mke wako...wewe siulifumaniwa na mtoto Wa baba yako Mkubwa anayeitwa Prisila au unakataa
Ndio hivyo mkuuSo jamaa nae anamiliki mke wangu au? Ujue nazidi kupanic yaani
Duuu we mtu vipi?Wanawake wanamtindo wakuitana sana My...nadhani pia wewe ni mhuni Mkubwa sana wakupindukia sana sana ndio maana unamtilia shaka Mke wako...wewe siulifumaniwa na mtoto Wa baba yako Mkubwa anayeitwa Prisila au unakataa
Hapo bhana unakaribia kusaidiwa tu hauna ujanjaAisee! Huwa naichunia simu ya mke wangu kwa kuogopa BP na pia namuamini maana ana kautulivu kimuonekano na maisha tulioishi hajawahi kuniletea mazombie mpaka yanitishe na kuhisi sio mwaminifu.
Sasa leo weekend nipo kitandani nimeshika simu yake aisee! Kucheki video za whatsapp nikajikuta nimeingia inbox yake kuna li mtu anachat nalo linaonesha linamcare huku linamuita "My" na yeye anajibu na neno "My".
Hapa nilipo nimeshapanic japokuwa wanasalimiana tu na kutakiana chakula chema ila kimenishangaza hicho kibwagizo chao cha kuitana "My" nataka niuwashe moto maana sijaelewa kabisa hiyo term "My".
Naogopa kuianzisha hii vita kabla sijajua wenzangu hii issue mnaichukuliaje maana nisije itwa Complicator wa term kumbe ni term ya kawaida tu.
NATAKA USHAURI SIO MATUSI.
Unanakili story za Instagram unazileta hapaAisee! Huwa naichunia simu ya mke wangu kwa kuogopa BP na pia namuamini maana ana kautulivu kimuonekano na maisha tulioishi hajawahi kuniletea mazombie mpaka yanitishe na kuhisi sio mwaminifu.
Sasa leo weekend nipo kitandani nimeshika simu yake aisee! Kucheki video za whatsapp nikajikuta nimeingia inbox yake kuna li mtu anachat nalo linaonesha linamcare huku linamuita "My" na yeye anajibu na neno "My".
Hapa nilipo nimeshapanic japokuwa wanasalimiana tu na kutakiana chakula chema ila kimenishangaza hicho kibwagizo chao cha kuitana "My" nataka niuwashe moto maana sijaelewa kabisa hiyo term "My".
Naogopa kuianzisha hii vita kabla sijajua wenzangu hii issue mnaichukuliaje maana nisije itwa Complicator wa term kumbe ni term ya kawaida tu.
NATAKA USHAURI SIO MATUSI.
Ili iwe nini? Mwambieni mwenzenu afanye kazi aachane na simu ya mkeweIli kupata ukweli, jitahidi cku moja toka na simu yake kwenda hapo mtaani, acha simu yako home kama bahati mbaya hizi, alafu mtext huyo jamaa/shosti sms za ugomvi kama vile Hi my, leo kesho vip, My nimekumiss, My unaendeleaje, My mambo yako, My nipe ramani, My mchakato vip nk. Majibu yake ndo yatakupa majibu MUBASHARA kuwa nini kinaendelea,ukishapata majibu foward kwenye simu yako alafu DELETE zote. Ukirudi huku tutakupa wayfoward