Na Mm nimecheka sanaAisee huu uzi umenifurahisha mnoo yaan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Mm nimecheka sanaAisee huu uzi umenifurahisha mnoo yaan
Compact mimi sikubaliani na wewe kuwa MY ni sawa WANGU, mbona hivi ni vitu viwili tofauti.Ni sawa mtu akuulize CCM ni nini halafu umjibu ni maembe.Angalau hata kama ingekuwa CCM ni chagua chako mapema inaleta ' sense 'kidogo.Kwa mantiki ya Chats zao, MY humaanisha WANGU.
Ni neno la kawaida sana kutumika baina ya jinsia ke. Lakini pia linaweza kutumika baina ya jinsia ke na me.
Sasa kuitana huko sijajua wana lengo gani. Ila kwa experience yangu, ke na me wakiashaanza kuitana "my" basi uwezekano wa kukutanisha vikojoleo ni mkubwa.
Cha msingi, we muambie tu aache tabia hiyo. Kama umekuta salamu na wishes za mlo mwema, basi hiyo my yao haijawa Chronic bado. Ipo katika hatua za awali.
Changu mbona haioani na My?My maana yake changu. Ila tulia msome saikolojia vizuri
Naam Mkuu Tyupa, tunaweza kutofautiana. Kwa muktadha wa Chats zao, wewe unafikiri MY lilikua linatumika kumaanisha nini? Naomba unisaidie MkuuCompact mimi sikubaliani na wewe kuwa MY ni sawa WANGU, mbona hivi ni vitu viwili tofauti.Ni sawa mtu akuulize CCM ni nini halafu umjibu ni maembe.Angalau hata kama ingekuwa CCM ni chagua chako mapema inaleta ' sense 'kidogo.
Haijulikani kama my ni neno kamili au ni kifupi cha kitu fulani kama ambavyo nilikuwa nafikiri.Lakini kama ni neno basi ni neno la kiingereza lenye maana ya yangu au wangu.Lakini kama ni kifupi kama ambavyo nilikuwa nafikiri basi maana yake nitakuwa siijui ingawaje hata mimi nilishawahi kuitwa my na mwanamke ambae hata elimu hana.Kuna vifupisho pia vimezoeleka kwa baadhi ya watu wakati idadi kubwa ya watu hawajui vifupisho hivyo vina maana gani.Kuna international abbreviation ambavyo watu husoma shuleni au mahali pengine na pia national abbrevition ambavyo hutumia ndani ya nchi husika tu.Sasa hii MY kama ni neno au abbrevition ya maneno fulani kwa kweli sijui.Nilifikiri iko kama neno MR ambalo ni neno la kiingereza kirefu chake kikiwa ni Mister.Lakini mtu mgeni na neno Mr akikuuliza hiki ni kitu gani na wewe ukamwambia ni Bwana atakukatalia kwa sababu Mr na Bwana havioani ingawa tafsiri ya Mr ni Bwana.So the same applies to My and Wangu.Mimi nina elimu ya kutosha lakini sijawahi kukutana na hili neno officially vitabuni au kwenye machapisho yeyote zaidi ya mitaani tu.Naam Mkuu Tyupa, tunaweza kutofautiana. Kwa muktadha wa Chats zao, wewe unafikiri MY lilikua linatumika kumaanisha nini? Naomba unisaidie Mkuu
Usiumie kak angu pole ndo ukubwa huo
Kwa sisi watu wazima ni jambo la kawaida mno,ndio maana mama zenu tupo nao mpaka leo.Mwanamke akishamuita mwanaume my ujue tayari anahisia nae, watch out, unatafuniwa au utatafuniwa very soon
Unataka azidi kupanic zaidi??Pole mkuu, wewe share tu whatsapp ya mke wako kwenye laptop yako, mrudishie simu yake umemaliza mchezo
Sio lazma magehedo yatumike...mi nina best wa kitambo anaitwa my na cjawai ingia naye mahusianoMy=wangu lazima magegedo yahusike hapo blaza
Sio lazma magehedo yatumike...mi nina best wa kitambo anaitwa my na cjawai ingia naye mahusiano
Hapo kikubwa ni kumuombea tu ili aache njia zake mbaya, kuna asilimia ndogo sana ya uaminifu katika ndoa nyingi au mahusiano. Ukihoji utaombwa msamaha lakini biashara itaendelea kama kawaida maana mpaka alipokubali kuingia kwenye uhusiano mpya ujue kuna kilichomvutia au kumshawishi.Aisee! Huwa naichunia simu ya mke wangu kwa kuogopa BP na pia namuamini maana ana kautulivu kimuonekano na maisha tulioishi hajawahi kuniletea mazombie mpaka yanitishe na kuhisi sio mwaminifu.
Sasa leo weekend nipo kitandani nimeshika simu yake aisee! Kucheki video za whatsapp nikajikuta nimeingia inbox yake kuna li mtu anachat nalo linaonesha linamcare huku linamuita "My" na yeye anajibu na neno "My".
Hapa nilipo nimeshapanic japokuwa wanasalimiana tu na kutakiana chakula chema ila kimenishangaza hicho kibwagizo chao cha kuitana "My" nataka niuwashe moto maana sijaelewa kabisa hiyo term "My".
Naogopa kuianzisha hii vita kabla sijajua wenzangu hii issue mnaichukuliaje maana nisije itwa Complicator wa term kumbe ni term ya kawaida tu.
NATAKA USHAURI SIO MATUSI.
Yn now haya majina cjui sweat,my,dear wanayatuma for no reason hawa wadada..xo ukiitwa my usijimilikishe 100%Sasa my nini? Hapo either wewe au yeye betri haina chaji za kutosha
Hapo kama nimovie huwa I naingia sound track ndindiiii kunakitu tayri hakuna tena kufikiri hapo amua tuMi nimeumia we furahi tu