Mke wangu anachat na li mtu wanaitana "MY"

Mke wangu anachat na li mtu wanaitana "MY"

Kwa mantiki ya Chats zao, MY humaanisha WANGU.

Ni neno la kawaida sana kutumika baina ya jinsia ke. Lakini pia linaweza kutumika baina ya jinsia ke na me.
Sasa kuitana huko sijajua wana lengo gani. Ila kwa experience yangu, ke na me wakiashaanza kuitana "my" basi uwezekano wa kukutanisha vikojoleo ni mkubwa.

Cha msingi, we muambie tu aache tabia hiyo. Kama umekuta salamu na wishes za mlo mwema, basi hiyo my yao haijawa Chronic bado. Ipo katika hatua za awali.
Compact mimi sikubaliani na wewe kuwa MY ni sawa WANGU, mbona hivi ni vitu viwili tofauti.Ni sawa mtu akuulize CCM ni nini halafu umjibu ni maembe.Angalau hata kama ingekuwa CCM ni chagua chako mapema inaleta ' sense 'kidogo.
 
Compact mimi sikubaliani na wewe kuwa MY ni sawa WANGU, mbona hivi ni vitu viwili tofauti.Ni sawa mtu akuulize CCM ni nini halafu umjibu ni maembe.Angalau hata kama ingekuwa CCM ni chagua chako mapema inaleta ' sense 'kidogo.
Naam Mkuu Tyupa, tunaweza kutofautiana. Kwa muktadha wa Chats zao, wewe unafikiri MY lilikua linatumika kumaanisha nini? Naomba unisaidie Mkuu
 
Naam Mkuu Tyupa, tunaweza kutofautiana. Kwa muktadha wa Chats zao, wewe unafikiri MY lilikua linatumika kumaanisha nini? Naomba unisaidie Mkuu
Haijulikani kama my ni neno kamili au ni kifupi cha kitu fulani kama ambavyo nilikuwa nafikiri.Lakini kama ni neno basi ni neno la kiingereza lenye maana ya yangu au wangu.Lakini kama ni kifupi kama ambavyo nilikuwa nafikiri basi maana yake nitakuwa siijui ingawaje hata mimi nilishawahi kuitwa my na mwanamke ambae hata elimu hana.Kuna vifupisho pia vimezoeleka kwa baadhi ya watu wakati idadi kubwa ya watu hawajui vifupisho hivyo vina maana gani.Kuna international abbreviation ambavyo watu husoma shuleni au mahali pengine na pia national abbrevition ambavyo hutumia ndani ya nchi husika tu.Sasa hii MY kama ni neno au abbrevition ya maneno fulani kwa kweli sijui.Nilifikiri iko kama neno MR ambalo ni neno la kiingereza kirefu chake kikiwa ni Mister.Lakini mtu mgeni na neno Mr akikuuliza hiki ni kitu gani na wewe ukamwambia ni Bwana atakukatalia kwa sababu Mr na Bwana havioani ingawa tafsiri ya Mr ni Bwana.So the same applies to My and Wangu.Mimi nina elimu ya kutosha lakini sijawahi kukutana na hili neno officially vitabuni au kwenye machapisho yeyote zaidi ya mitaani tu.
 
Mwanamke akishamuita mwanaume my ujue tayari anahisia nae, watch out, unatafuniwa au utatafuniwa very soon
Kwa sisi watu wazima ni jambo la kawaida mno,ndio maana mama zenu tupo nao mpaka leo.
Na sisi twatafuna nje vilevile
Kikubwa ni heshima na usiri mkubwa
Sio kujiachia mpaka mwaitana MY
 
Aisee! Huwa naichunia simu ya mke wangu kwa kuogopa BP na pia namuamini maana ana kautulivu kimuonekano na maisha tulioishi hajawahi kuniletea mazombie mpaka yanitishe na kuhisi sio mwaminifu.

Sasa leo weekend nipo kitandani nimeshika simu yake aisee! Kucheki video za whatsapp nikajikuta nimeingia inbox yake kuna li mtu anachat nalo linaonesha linamcare huku linamuita "My" na yeye anajibu na neno "My".

Hapa nilipo nimeshapanic japokuwa wanasalimiana tu na kutakiana chakula chema ila kimenishangaza hicho kibwagizo chao cha kuitana "My" nataka niuwashe moto maana sijaelewa kabisa hiyo term "My".

Naogopa kuianzisha hii vita kabla sijajua wenzangu hii issue mnaichukuliaje maana nisije itwa Complicator wa term kumbe ni term ya kawaida tu.

NATAKA USHAURI SIO MATUSI.
Hapo kikubwa ni kumuombea tu ili aache njia zake mbaya, kuna asilimia ndogo sana ya uaminifu katika ndoa nyingi au mahusiano. Ukihoji utaombwa msamaha lakini biashara itaendelea kama kawaida maana mpaka alipokubali kuingia kwenye uhusiano mpya ujue kuna kilichomvutia au kumshawishi.
 
Huko kuitana my ni "fore play"...show yenyewe kufuata soon!
 
Back
Top Bottom