Mke wangu anadai ana ujauzito wangu lakini kwenye kadi la clinic kaweka jina la mtu mwingine!

Akili kama hizi zitaweza kudai katiba mpya kweli?
 
Njoo upate kinywaji hapa Catalunya usahau machungu unayopitia mzee.
 
Huyu hakutakiwa kukupiga chenga tu alitakiwa akupige na makofi, hivi nyie wavulana akili mnaachaga wapi kabla ya kuandika hizi aibu, ungekua karibu yangu ningekunasa bonge la kofi.
 
Mke? Hivi ndoa zimekua rahisi kiasi hiki? yaan mke wako, unampa ujauzito halafu kliniki anaenda anaandika baba wa mtoto ni mtu mwingine, sijui mjomba, we nilihuni limoja tuu, linatafuta mawazo ya wanajukwaa!

Kama hii si chai, basi unamatatizo sehemu, na mwanamke ameona hufai kuwa baba
 

Hapa Hakuna cha ushauri bro, labda kama una co-habitate nae, mke akifanya upumbavu mpe makavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…