Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,283
Pana hawala hamna mke hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi sana Mzee mwenzangu...Kwaiyo mkuu unataka tushauri nn hapa kama si kutukosea adabu wanaume hivi nyie wavulana mnamatatizo gani lkn! kwann mnakimbiliia kuoa huku akili hazijawakomaa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanataka watu tutukane tupate zambi za bureKwaiyo mkuu unataka tushauri nn hapa kama si kutukosea adabu wanaume hivi nyie wavulana mnamatatizo gani lkn! kwann mnakimbiliia kuoa huku akili hazijawakomaa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba mkewe hana tofauti na ATM. [emoji41]Subiri mtoto,
Wakurugwa mimba hatukatai tunakataa mtoto. Ila inaonekana mkeo anaupiga mwingi sana [emoji1787][emoji1787]
Mke wangu anadai anaujauzito wangu lakini kwenye kadi la clinic kaweka jina la mtu mwingine!
Ukimuuliza Mama yake mzazi na mke wangu anasema lile jina ni la mjomba wake yeye! Cha Ajabu kila nilipotaka kuliona kadi la Clinic nilikua napigishwa chenga!
Mnanishaurije wadau!?