Gari Moshi
JF-Expert Member
- Jan 29, 2013
- 680
- 421
Mpeleke kwao yeye na mama yake wajadiliane kama mjomba atalea au mama mkwe mwenyewe.Jina la mimba huwa kuna pa kujaza mama na baba tu,hakuna pa kujaza mjomba.Hao mama na mwana wana usiri wao usioujuwa.Mke wangu anadai anaujauzito wangu lakini kwenye kadi la clinic kaweka jina la mtu mwingine!
Ukimuuliza Mama yake mzazi na mke wangu anasema lile jina ni la mjomba wake yeye! Cha Ajabu kila nilipotaka kuliona kadi la Clinic nilikua napigishwa chenga!
Mnanishaurije wadau!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Usigombane naye ila jitenge naye kimya kimya.Mke wangu anadai anaujauzito wangu lakini kwenye kadi la clinic kaweka jina la mtu mwingine!
Ukimuuliza Mama yake mzazi na mke wangu anasema lile jina ni la mjomba wake yeye! Cha Ajabu kila nilipotaka kuliona kadi la Clinic nilikua napigishwa chenga!
Mnanishaurije wadau!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Picha brooMke wangu anadai anaujauzito wangu lakini kwenye kadi la clinic kaweka jina la mtu mwingine!
Ukimuuliza Mama yake mzazi na mke wangu anasema lile jina ni la mjomba wake yeye! Cha Ajabu kila nilipotaka kuliona kadi la Clinic nilikua napigishwa chenga!
Mnanishaurije wadau!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona umeamua kutukosea heshima wanaume wenzako sasaMke wangu anadai anaujauzito wangu lakini kwenye kadi la clinic kaweka jina la mtu mwingine!
Ukimuuliza Mama yake mzazi na mke wangu anasema lile jina ni la mjomba wake yeye! Cha Ajabu kila nilipotaka kuliona kadi la Clinic nilikua napigishwa chenga!
Mnanishaurije wadau!?
Sent using Jamii Forums mobile app
bado mtoto, ukikua utajua kwa nini.
Walishakuona we boya, na inaonekana wewe wanakuviringa kadri wanavyotaka, iweje mama mkwe aje kukuelezea taarifa za kadi? Hafu huyo mkeo anakufahamu kuwa wewe ni dhaifu ndo maana kapigwa mimba na kamwandika jamaa yake, pole dogo pambanaMke wangu anadai anaujauzito wangu lakini kwenye kadi la clinic kaweka jina la mtu mwingine!
Ukimuuliza Mama yake mzazi na mke wangu anasema lile jina ni la mjomba wake yeye! Cha Ajabu kila nilipotaka kuliona kadi la Clinic nilikua napigishwa chenga!
Mnanishaurije wadau!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kitu ilimtokea jamaa namfahamu, mkuu hapo kama ndoa yenu bado changa na mmepanga chukua nguo zako potea kabisa usionekane tena kwake. Oa mwanamke anayejitambua uanze maisha upya. Kwani hamkwenda naye ciliniki siku ya kwanzaMke wangu anadai anaujauzito wangu lakini kwenye kadi la clinic kaweka jina la mtu mwingine!
Ukimuuliza Mama yake mzazi na mke wangu anasema lile jina ni la mjomba wake yeye! Cha Ajabu kila nilipotaka kuliona kadi la Clinic nilikua napigishwa chenga!
Mnanishaurije wadau!?
Sent using Jamii Forums mobile app
dogo usiwe na pupa,subiri ukue tu haya mambo yapo. wewe si hadi leo hujawai kuona mtu aliyefungua kadi mbili za clinick na unasema ili iweje..we subiri na ni vema kipindi hiki ujisomee sana ujiandae na mock.
Mwenyewe kama sijaelewaelewa hivi!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi kuoa siku hizi ni rahisi kiasi hiki[emoji134][emoji134][emoji134]
Huyo sio mkeo jiongeze usije kujiua bureMke wangu anadai anaujauzito wangu lakini kwenye kadi la clinic kaweka jina la mtu mwingine!