Mke wangu anadai ana ujauzito wangu lakini kwenye kadi la clinic kaweka jina la mtu mwingine!

Mke wangu anadai anaujauzito wangu lakini kwenye kadi la clinic kaweka jina la mtu mwingine!

Ukimuuliza Mama yake mzazi na mke wangu anasema lile jina ni la mjomba wake yeye! Cha Ajabu kila nilipotaka kuliona kadi la Clinic nilikua napigishwa chenga!

Mnanishaurije wadau!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpeleke kwao yeye na mama yake wajadiliane kama mjomba atalea au mama mkwe mwenyewe.Jina la mimba huwa kuna pa kujaza mama na baba tu,hakuna pa kujaza mjomba.Hao mama na mwana wana usiri wao usioujuwa.
 
Ni mke wako wa ndoa? mnaishi wote? kama kimoja kati ya ayo maswali mawili ni ndio basi level ulifikia na mke ni zaidi ya hatari.
 
Mke wangu anadai anaujauzito wangu lakini kwenye kadi la clinic kaweka jina la mtu mwingine!

Ukimuuliza Mama yake mzazi na mke wangu anasema lile jina ni la mjomba wake yeye! Cha Ajabu kila nilipotaka kuliona kadi la Clinic nilikua napigishwa chenga!

Mnanishaurije wadau!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Usigombane naye ila jitenge naye kimya kimya.
 
Mke wangu anadai anaujauzito wangu lakini kwenye kadi la clinic kaweka jina la mtu mwingine!

Ukimuuliza Mama yake mzazi na mke wangu anasema lile jina ni la mjomba wake yeye! Cha Ajabu kila nilipotaka kuliona kadi la Clinic nilikua napigishwa chenga!

Mnanishaurije wadau!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona umeamua kutukosea heshima wanaume wenzako sasa
 
Mke wangu anadai anaujauzito wangu lakini kwenye kadi la clinic kaweka jina la mtu mwingine!

Ukimuuliza Mama yake mzazi na mke wangu anasema lile jina ni la mjomba wake yeye! Cha Ajabu kila nilipotaka kuliona kadi la Clinic nilikua napigishwa chenga!

Mnanishaurije wadau!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Walishakuona we boya, na inaonekana wewe wanakuviringa kadri wanavyotaka, iweje mama mkwe aje kukuelezea taarifa za kadi? Hafu huyo mkeo anakufahamu kuwa wewe ni dhaifu ndo maana kapigwa mimba na kamwandika jamaa yake, pole dogo pambana
 
Mke wangu anadai anaujauzito wangu lakini kwenye kadi la clinic kaweka jina la mtu mwingine!

Ukimuuliza Mama yake mzazi na mke wangu anasema lile jina ni la mjomba wake yeye! Cha Ajabu kila nilipotaka kuliona kadi la Clinic nilikua napigishwa chenga!

Mnanishaurije wadau!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kitu ilimtokea jamaa namfahamu, mkuu hapo kama ndoa yenu bado changa na mmepanga chukua nguo zako potea kabisa usionekane tena kwake. Oa mwanamke anayejitambua uanze maisha upya. Kwani hamkwenda naye ciliniki siku ya kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
short and clear crystal:

unaishi na mke wa mtu;jihadhari usijefumaniwa naye
 
Mke wangu anadai anaujauzito wangu lakini kwenye kadi la clinic kaweka jina la mtu mwingine!

Ukimuuliza Mama yake mzazi na mke wangu anasema lile jina ni la mjomba wake yeye! Cha Ajabu kila nilipotaka kuliona kadi la Clinic nilikua napigishwa chenga!

Mnanishaurije wadau!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo sio mkeo jiongeze usije kujiua bure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenye uzi kakamatwa na watu wasiojulikana [emoji23][emoji23][emoji23], tatizo za uso nyingi mpeni ushauri mzur jmn nlio kwenye ndoa msije mkafanya mtu akajiua huko..!!!

F@nn¥[emoji769]
 
Back
Top Bottom